Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 29, 2025 #1 Mihayo Juma N’hunga amechukua fomu ya kugombea uwakilishi jimbo la Mwera kupitia Chama Cha Mapinduzi. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025Mihayo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro.
Mihayo Juma N’hunga amechukua fomu ya kugombea uwakilishi jimbo la Mwera kupitia Chama Cha Mapinduzi. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025Mihayo amekabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya Mfenesini, Veronica Ndaro.
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,174 Reaction score 18,884 Jun 29, 2025 #3 Picha iko wapi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #4 Sawa sawa