Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?


Nakubaliana na wachangiaji waliopita kwamba hadi unaona mwanume anampiga mwanamke ujue kuna sababu.. tena sababu nzito tuu ( I had my reason also). But my point is beating is not a solution in my view... perhaps β€œku misbehave” kwa mwanamke kunaweza kua kwa ujinga wake au hata wewe mwanaume ukawa umechangia kwa kujua au kuto kujua.

A man is here on earth [emoji288] to provide security.... to love her woman .... not to beat her! In my view lakini!!!
 
Or you have read it πŸ‘
Kiingereza chako kibovu kabisa. Si uandike Kiswahili tu.
Halafu usije ukasema na wewe ulifaulu πŸ˜€ Na ikiwa ulifaulu, nasema wazi wazi, hiyo mitihani ni majanga.
 
hayo mahojiano yapo YouTube?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bro,listen.....your wife is holding a knife and charging towards you,then what next?
 
vipi una uzoefu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kupiga unaweza piga mpaka ukaua sababu kubwa ni
Dharau zikiambatana na matusi
Umalaya wa wazi wazi.

Mwanamke kama huyu huongei nae kitu ni Kumuacha na kuanza maisha yako upyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa sifa ulizozitaja hapo unafikiri Angemuua hyo Dada asingeenda jela
Kama mwanamke anamzingua aachane naye
Tena anampa hadi vikwazo vya uchumi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Jela kama ni kwenda utaenda tu, siyo lazima ufanye kosa. Hapa ni Africa.

Labda kama wewe ni zezeta tu kwenye duka la mhindi unaweza kuwa spared
 
Bila shaka wewe ni mkurya,haiwezekani ukatetea mwanamke kupigwa namna hiyo
Mimi ni Mzanaki.

Mwanamke akiniletea uswahili lazima nimbutue mabuti, iko hivyo.

Mimi siyo mswahili swahili wala sitaki unafiki. Kama mwanamke anataka kukaa na mimi ni lazima aweke uswahili pembeni.

Hayo mambo ya mahaba nawaachia ninyi watu wa pwani ( maana huku huwa naona hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke, ni mdomo vibration mwanzo mwisho ).
 
ukimpenda mwanamke anakuona fala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wote tuwe malaya nyumba iitwe dangulo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kutana na mabazazi wote wa mjini. Wanachomeka kwenye kila tundu wanaloliona.
Miaka 30 tu umekongoroka kama Guta.

Endeleeni na mashindano
 
Kwa hili alilolifanya daah am not sure km yataendelea hayo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akikujibu unitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…