Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Mbona sijaona Kipigo nyie acheni upuuuzi. Huko kupapaswa ndio mnasema kipigo. Wanaume wa Daaaslam kwakweli bure kabisaaaaaa. Mwambieni akamuuulize Mama Chacha maaana ya kichapo pale mitaaa ya Kitunda
 
Sipati picha tukio lingetokea kwa trump na huu ushahidi.
 
Lazima kuna mambo hatuyajuwi sisi tulio nje ya ndoa yao, ila mke akileta za dharau ujuaji na kiburi yakimkuta kama haya lazima afundishwe adabu, wanawake wa kileo ni shida sana sana...
 
Jamaa na ma cv yoote haya bado mke aheshimu mumewe.kweli anastahili kichapo.....ha ha utani !!!!! turudi kwenye mada kuu.....
hakuna mwanaume asiyepiga.....
tumetofautiana kwenye levo za provocation...
wengine wana hasira za haraka /short fused men....
wengine hasira zao zipo mbali. hawa ndio wabaya siku akipiga mwanamke anauwa
all in all hakuna mwanaume anayependa kupiga mkewe......
wanawake heshimu waume zenu punguzeni midomo michafu
 
Mkuu umeongea vema, kuna Bidada Fulani alikuwa anasema kupiga mwanamke ni ujinga na kutokuwa na ustaarabu, nikamwambia hayo maneno unayosema kwa wanaume ndio hupelekea kupigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…