Mihemko na kupanic ndio tatizo mtambuka la vijana wa Kitanzania

Mbona hata sisi wengine tumesoma za kata lakini tunajitambua? nadhani ni malezi mabaya tu ya wazazi
possibly hizi zaweza kua miongoni mwa vichocheo vya mihemko na panic

1. hasira mikeka kuchanika
2. malezi yasiyo kua mazuri ya wazazi eg. kudekezwa 🐒
3.kufuatilia mpira EPL, UEFA n.k
4. ukosefu wa ajira
5.ukosefu wa mitaji
6.unywaji pombe, mapenzi na uvutaji madawa ya kulevya
7.lack of nice tones, discipline and knowledge on presenting their issues respectful
 
inawezekana mihemko na panic zao zinachochewa na hasira za mikeka yao kuchanika right? 🐒

Kubeti
Ngono (uzinzi)
Pombe ,sigara , na bangi

MTU anajijua yeye ni masikini Ila unakuta anavuta sigara , tena embassy (ubalozi)

Anakunywa bia /sugura n.k

Anabeti na kuhonga.

Kuna vijana wengi wanafanya kazi ngumu Ila wanaishia kuhonga hela zao inasikitisha Sana.

Mbaya kuliko yote vijana hawana nice tune hawajui waongee nini , waandike nini wao 24/7 ni simba na yanga tu.
 
Vijana wamepoteza dira.

Hawajui kesho yao.

Wamesoma hawana kazi wala hawategemei kuajiriwa.

Watajiajiri na nini, wengi ni familia za uwezo wa kati na mdogo.

Wanaishia kunywa gongo,

Watakosaje mihemko?
uko sahihi 🐒
 
the last point is new and very strong for somebody to learn and have it in their lives 🐒
 
Wanao kunywa gongo hawapo huku hakuna kijana anywe bongo smart phone ibaki itapotea au atauza..
 
Vijana ifike wakati wapunguze muda wa kuangalia mpira na kubeti waanze kufuatilia maslahi ya nchi, haiwezekani budget inasomwa bungeni watu wapo busy na kubeti hii ni hatari sn
Nakuhakikishia jambo hili halijaja bahati mbaya bali lipo planned kabisa. Kama ulifanikiwa kufuatilia yale maandamano 7a Kenya utagundua tofauti kubwa sana kati ya kijana wa Kenya na watz. Hapa uchawa, kubet, muzak, pombe na mademoiselle baas
 
Vijana ifike wakati wapunguze muda wa kuangalia mpira na kubeti waanze kufuatilia maslahi ya nchi, haiwezekani budget inasomwa bungeni watu wapo busy na kubeti hii ni hatari sn
Nikikuambia najua hutaamini ila ndio CCM wanapenda vijana waendelee kuwa hivyo hivyo. Kizazi cha kuhoji na CCM ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Unapomkataza
the last point is new and very strong for somebody to learn and have it in their lives 🐒
Mwanafunzi wa chuo asifanye siasa tena anayesoma political science unategemea nn? Wale wa Kenya wanagoma kudai maisha magumu na finance Bill. Hapa kwetu mnataka tweeter ifungiwe?
 
Wale wafuata upepo ni kweli waliunga mkono juhudi shauri ya katiba mbovu, wako wapi sahivi? wamepotea wote akina Nasari, Lema, Msigwa, Sugu wapo nje ya bunge lakini wana nguvu haswa, wakati mwingine tamaa huharibu future ya mtu
inawezekana malengo yao binafsi ya kisiasa yametimia, ispokua yale ya jumla ya taasisi zao za awali ndio bado hayajatimia, huenda wakarejea tena huko walikotoka yakitimia 🐒
 
Pombe za kwenye plastic jogoo sijui ni nini zinaharibu sn watu
sikuizi naskia kuna unywaji pombe na madawa ya kulevya wa kisasa...

mfano wakike wanatumia sodo au taulo za kike,

wananyunyiza mapombe makali au madawa ya kulevya kwenye hizo sodo kisha wanavaa kanakwamba wako kwenye hedhi. wengine wanatumia zile za kutumbikiza kabisa kisha uzi tu ndio unabaki nje, kama kuna yale majani ya chai Fulani hivi yenye kiuzi 🐒

naskia ulevi wake ni mkali funika bovu, nyie mnashangaa mtua anajichekesha na kujiongelesha kumbe yuko nzwii anapombeka 🐒

wanaume wanatumia bomba zenye ukubwa tofauti mgano wa kama ice cream za ukwaju au maziwa zinakua soft na vitundu vitundu, wanajaza humo madawa ya kulevya au pombe wanazamisha huko kwenye vijambizi vyao, dah aise tumekwisha.🐒

unakuta jamaa mko darasani kasinzia haelewi kumbe yuko nzwii 🐒
 
Tunaua viongozi wa kesho
 
Unapomkataza

Mwanafunzi wa chuo asifanye siasa tena anayesoma political science unategemea nn? Wale wa Kenya wanagoma kudai maisha magumu na finance Bill. Hapa kwetu mnataka tweeter ifungiwe?
kuepuka kupuuzwa,
ni vizuri nidhamu na heshima unapodai mahitaji au haki zako za msingi,

siamini kuna mtu anaweza kuguswa au kukatazwa kufanya maandamano au mgomo ikiwa haporomoshi matusi wala kutukana, hapori wala kuvunja cha mtu, hamlazimishi yeyote afanye kama anavyofanya yeye n.k🐒

kama itatokea basi iwe ni kwa kiwango kidogo sana kama yule jamaa muandamanaji Kenya aliepora alietoroka na na kutokomea na farasi wa polisi🐒
 
Hayo yanayoitwa matusi ni yep na wanaotukana ni kinanani mbona hawashtakiwi? Tuseme Magufuli alisimamisha maandamano kwa sababu ya hayo matusi na watu kuvunja vitu vya watu? Isije ikawa watu wakihoji kwakuwa hakuna majibu wanaambiwa hayo ni matusi.
 
tatizo la utovu wa kimaadili linaanzia hapo hapo,

unaambiwa umevaa nguo fupi au chini ya makalio unakomaa fupi wap, chini ya makalio wap, ulitaka nivalie wap, mbona kawaida, halafu ukitembea unaivuta chini, kukaa wala kuinama huwezi, au unaanza kushikilia msuruali wako ulipofikia magotini 🐒

hapa suala sio nani alifanya nini ikawaje...

suala ni hiyo mihemko na matusi yako ambayo unaona ni haki yako inavyokufanya upuuzwe na kuzuiwa kufanya chochote kwasabb ya tabia na hulka zisizo za kistaarabu 🐒

na kwahivyo bila kubadili aina hiyo ya fikra, lugha na mtazamo mtalalama mno hayupo mwenye hekima na busara ataskiza bandits 🐒
 
Unazunguuka saana lakini husemi nani alimtukana nani, lini na wapi?
Mwaka 2001 rais mkapa aliwatuma mapolisi na wqnajeshi kwenda kuua wqtu kule Pemba. Waliokuwa wanaandamana. Tuseme alitukanwa?
Lipumba alivunjwa mkono pale zakhem tuseme alitukana?
 
mimi sijatoa hoja kumuonyeshea kidole eti fulani na fulani ni watukanaji no, hiyo sio hoja 🐒

na by the way unaweza ona tu hata kwenye mjadala nani anaelekea kutukana, na hutumii nguvu kubwa kuliona hilo...

🤣hayo ya kuuawa watu na kuvunjwa mikono sidhani kama kuna mahali nimezungumzia licha ya kwamba ni mfano wako 🐒

nimemshauri vijana,
kuepuka na kujizuia kushupaza shingo kwa kuporomosha matusi na kutukana pale wanapohisi masuala yao ya msingi yanaathiriwa na sera au sheria fulani, bali hekima na busara viwaelekeze kutafuta majawabu kiungwana dhidi ya wanao simamia mambo yao,

na kwahakika,
watafanikiwa haraka na kwa uhakika sana badala ya kuishia kwenye mihemko na ghadhabu tu 🐒
 
Back
Top Bottom