Mihogo mibichi inasaidia nini?

Curvyminx

Senior Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
181
Reaction score
224
Habarini wakuu,

Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula.

Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. Embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
 
Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
 
Inaongeza carbohydrates mwilini
 
ukiwaona tena waulize halafu utupe jibu hapa jukwani
 
Ngoja wanaume wa dar waje wakujibu!mikoani hatuhitaji buster[emoji23]
 
Hii mambo ipo Dar tu, ndio maana wanauza mahindi ya kuchoma yakiambatana na ndimu pilipili na chumvi. Shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…