Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaongeza carbohydrates mwiliniHabarini Wakuu,
nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula. Just curious...inasaidia nini? kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
Kuna mtu amekuzimia kule kwenye thread nyingine dada [emoji1]Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
Nimeona mkuu[emoji7]Kuna mtu amekuzimia kule kwenye thread nyingine dada [emoji1]
Nawee umo!!!Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
Nimo wapi?Nawee umo!!!
working capacity ya muhogo!!!Nimo wapi?
Sina muhogoworking capacity ya muhogo!!!
Ngoja wanaume wa dar waje wakujibu!mikoani hatuhitaji buster[emoji23]Habarini Wakuu,