Aiseee Hiv ni wewe?Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
nimeipenda hiiMkuu umesahau kipande cha nazi na karanga mbichi. Vyote vitatu kwa pamoja vinaitwa kifurushi au bundle
Mihogo inabidi ipikwe au kuchomwa kupunguza kiasi cha sumu ya cyanide kilicho ndani yake.Habarini wakuu,
Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula.
Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. Embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?