Mihogo mibichi inasaidia nini?

Mihogo mibichi inasaidia nini?

Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
Aiseee Hiv ni wewe?

Maweeeeee nakuweka Kwenye DP yangu , maana si kwa uzuri huo.

Hivi toi.. Unaendaga au?
Inaongeza 'working capacity' ya muhogo (inasemekana ila)
721598784649e4bd6c041e4e830e3e88.jpg
 
inafanya ''wazungu'' kuwa wengi wakati wa tendo takatifu......
 
Habarini wakuu,

Nime notice wadada, kina mama wanatembea na kuuza mihogo mibichi na nimeshuhudia watu wananunua na kula.

Just curious inasaidia nini? Kwasababu wauzaji ni wengi, inaashiria demand ipo. Embu niambieni basi mihogo mibichi inasaidia nini?
Mihogo inabidi ipikwe au kuchomwa kupunguza kiasi cha sumu ya cyanide kilicho ndani yake.
 
Back
Top Bottom