Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,530
- 6,942
Pata mihogo safi kutoka mkuranga, njoo mteja serious tukuuzie mihogo mibichi iliyotayari kwa kuliwa. Mihogo ipo eneo la ekari 8 hadi 10 ni wewe kuja pm tuelewane tu.
Offer: mteja wa kwanza atapa ofa ya KULA bureee matunda yafuatayo akiwa shambani
Papai
Nanasi
Passion
Ndizi kisukari
Etc.
Karibuni sana
Offer: mteja wa kwanza atapa ofa ya KULA bureee matunda yafuatayo akiwa shambani
Papai
Nanasi
Passion
Ndizi kisukari
Etc.
Karibuni sana