Mihogo mihogo mihogo!

Mihogo mihogo mihogo!

Catherine

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,261
Reaction score
759
Hellow! Naomba kujua market price ya mihogo ipo vipi. Tuna eka tisa tunahitaji kuuza ila hatujui chochote.
Thanks in advance!
 
ni mbegu ipi chungu au tamu ? polisi nao walisha acha kutumia wanga kunyoosha sare zao.
 
ok catherine, nilifanya utafiti juu ya soko hilo, sema bado cjamalizia, ila ss kwa data nzuri na za uhakika zaidi nenda kibaha kuna shirika linaitwa sugar research, wana deal na masuala ya mihogo, hapo utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Soko la mhogo ni kubwa sana, isipokuwa sio kwa kiwango kidogo hivyo. Mhogo ndio chakula kikuu Rwanda na Burundi, na huko Mhogo Una soko sana. Labda uungane na wenzako wenye tenda huko.
 
Nilisikia ati
Bahresa ananunua mihogo kwa ajili ya kutengeneza biscut jaribu..
 
Kimsingi ni kweli soko la Muhogo ni kubwa sana japo kunachangamoto kiasi hasa soko likiwa linahitaji muhogo mkavu(UNGA,CHIPS,Starch) kwa kiwango kikubwa sana, kiasi kwamba wazalishaji wengi bado hajafikia hapo.

kwa mahitaji yako nafikiri kama unauwezo badili huo muhogo mbichi uwe mkavu (unga au chips ), ilikukusaidia kupata soko rahisi zaidi, na kama utapenda kuuza mbichi wapo wanunuzi kwenye masoko Ya tandale na Temeke sterior japo bei zao zinafuatana na size ya Muhogo,aina ya muhogo, kipindi cha uvunaji na Umri wa muhogo.

Na kama upo Pwani, tembelea Mkuranga kwa habari zaidi.
 
kwa ninavyofahamu mihogo kwa bei ya jumla kuuza ni kati ya sh 20000 na 40000 kwa kiroba cha kilo 50 ikitegemeana na muda wa soko (wakati wa mavuno mengi bei hushuka na kinyume chake ni sahihi).
 
Back
Top Bottom