Mihogo ya kukaanga (crispy)

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

Muhogo uliomenywa Na kukatwa vipambe ukubwa kiasi

Mafuta

Chumvi Na pilipili kavu twanga pamoja

Namna ya kutaarisha

Chemsha muhogo wako Na maji hadi uwive Na kua laini (angalia usivurugike)

Mwaga maji uliochemshia

Katika karai weka mafuta jikoni hadi yapate moto

Weka mihogo Na kaanga hadi ubadilike rangi kiasi

Toa weka kwenye sahani tayari kwa kula pamoja Na pilipili
 
Duh hio pic ya avatar yako kama ex-wangu anaitwa Amelia.
 
Wewe ndo umewafundisha pale coco beach nini?
 
Na crisp zinazofungwa kwenye vifuko laini hupikwa kwa style hiyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…