tya02
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 850
- 1,061
Style nyingine,Unaweza fanya the same process
Menya viaz vyako vizuri ,tumia kikatio cha crips/slicer inakat vizur sana zinakua nyembamba ,osha na maj vizur ,chuja maji zibak kavu sio saana kias tu,weka karai lako jikoni,moto wa wastan weka viaz vyako ulivyo katakata hapohapo vigeuzegeuze ili vijikunje(kama style) baad y hapo ukion vineiva vitoe,viwach vipoe tayar kw kuliwa