tya02 JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 850 Reaction score 1,061 Oct 14, 2016 #21 farkhina said: Unaweza fanya the same process Click to expand... Style nyingine, Menya viaz vyako vizuri ,tumia kikatio cha crips/slicer inakat vizur sana zinakua nyembamba ,osha na maj vizur ,chuja maji zibak kavu sio saana kias tu,weka karai lako jikoni,moto wa wastan weka viaz vyako ulivyo katakata hapohapo vigeuzegeuze ili vijikunje(kama style) baad y hapo ukion vineiva vitoe,viwach vipoe tayar kw kuliwa
farkhina said: Unaweza fanya the same process Click to expand... Style nyingine, Menya viaz vyako vizuri ,tumia kikatio cha crips/slicer inakat vizur sana zinakua nyembamba ,osha na maj vizur ,chuja maji zibak kavu sio saana kias tu,weka karai lako jikoni,moto wa wastan weka viaz vyako ulivyo katakata hapohapo vigeuzegeuze ili vijikunje(kama style) baad y hapo ukion vineiva vitoe,viwach vipoe tayar kw kuliwa