Mihula ya shule za sekondari~2013

Mihula ya shule za sekondari~2013

Joined
Feb 2, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Jaman wadau naomben mnipe mihula ya kufunga na kufungua shule za sekondar 2013 (o_level & A_level) coz mwaka wa jana wizara imewasumbua sana walim,wazaz na wanafunz.
 
naombeni na mm pia ufafanuzi jamani. nimesikia kuwa Necta imetangaza kwenye website yao wanafunzi waliohitumi form four mwaka jana wanaingia form five next month march. je ni kweli maana walimu wallituambia kuwa wanafunzi wanaingia form five july. so which is which tafadhali naombeni uhakika kwa hili pls!
 
Back
Top Bottom