A
Anonymous
Guest
Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari.
Chumba cha kuhifadhia maiti kimekuwa kama Biashara, Bila Pesa ya Hongo basi Miili inakuja chukulia na ndugu ikiwa imeharibika mnoo. Majokofu hayafanyi kazi kwa muda mrefu. Huduma ni dhaifu na mbaya..
Imekuwa maumivu kwa wafiwa ambao wamekuwa wakikutana na adha hii...
Tunaomba mpaze sauti, maana nyinyi ndiyo sauti ya Jamii, Mamlaka husika ishughulikie Uzembe katika Hospital Ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI.