Dah ni noma. So ukiwapa hongo miili inakuja huku haijaoza?
Kuna sindano inaitwa formaldehyde hua unachomwa mwili ili kuutunza kabla haujaja kuchukuliwa kwaajili ya mazishi. Tuseme hongo ni ili wachome hii sindano?
Umesema majokofu ni mabovu. Ukiwapa hongo kuna sehemu mbadala ya kuhifadhi mwili ndiyo wanaipeleka huko kwingine?
Kabla ya mtandaoni hili swala mganga mfawidhi, mganga mkuu na mkurugenzi wa mji wamewahi kupelekewa? Walitoa majibu?