Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
DuuhVp tena au ndiyo mambo ya Uchaguzi tunatoaga kafala....Poleni wafiwa.
Unataka kumaanisha nini?Vp tena au ndiyo mambo ya Uchaguzi tunatoaga kafala....Poleni wafiwa.
Ingekuwa kipindi cha JPM wangesema mengi sana.Kuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama (Bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro, ambapo mnamo tarehe 03 Julai 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu tukio hilo.
Chanzo cha mauaji hayo kilihusishwa kuwa ni wivu wa kibiashara.
Watuhumiwa waliotajwa kuhusika katika mauaji hayo walikamatwa na tayari wamefikishwa mahakamani.
Aidha, miili mingine miwili ya wanaume, ambayo bado haijatambuliwa, ilikutwa imetupwa porini katika maeneo tofauti ndani ya Wilaya ya Handeni, na inaendelea kuhifadhiwa kwa ajili ya utambuzi na uchunguzi zaidi.
Kwa upande mwingine, mwili wa mwanamke mmoja uliokotwa katika Kijiji cha Mkata, Wilaya ya Handeni, mnamo Februari 28 2025, ambapo uchunguzi ulibaini kuwa ni Fatuma Athuman (24), mkazi wa Kidereko, Handeni.
Watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanamke huyo wamekamatwa, na uchunguzi wa tukio hilo unaendelea kukamilishwa ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kushirikiana na Mikoa mingine kuhakikisha wahalifu wote wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria, na linatoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa kwa wakati kuhusu viashiria vyovyote vya uhalifu katika maeneo yao.
Mapori ya Handeni yanatumika sana kwa kazi chafuKuna matukio ya kuokotwa kwa miili ya wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga.
Kati ya miili hiyo, mwili wa mwanaume mmoja, kutokana na uchunguzi uliofanyika, ulibainika kuwa ni wa Benard Wilson Masaka, Mgogo (43), Mfanyabiashara wa nyama (Bucha) Mkazi wa Manispaa ya Morogoro, ambapo mnamo tarehe 03 Julai 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu tukio hilo.
Chanzo cha mauaji hayo kilihusishwa kuwa ni wivu wa kibiashara.
Watuhumiwa waliotajwa kuhusika katika mauaji hayo walikamatwa na tayari wamefikishwa mahakamani.
Aidha, miili mingine miwili ya wanaume, ambayo bado haijatambuliwa, ilikutwa imetupwa porini katika maeneo tofauti ndani ya Wilaya ya Handeni, na inaendelea kuhifadhiwa kwa ajili ya utambuzi na uchunguzi zaidi.
Kwa upande mwingine, mwili wa mwanamke mmoja uliokotwa katika Kijiji cha Mkata, Wilaya ya Handeni, mnamo Februari 28 2025, ambapo uchunguzi ulibaini kuwa ni Fatuma Athuman (24), mkazi wa Kidereko, Handeni.
Watuhumiwa wanne wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mwanamke huyo wamekamatwa, na uchunguzi wa tukio hilo unaendelea kukamilishwa ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea kushirikiana na Mikoa mingine kuhakikisha wahalifu wote wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria, na linatoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa taarifa kwa wakati kuhusu viashiria vyovyote vya uhalifu katika maeneo yao.
Hizi sentensi zenu za kijinga siyo dodoki la kumsafisha.Yeye alitoroka maisha lakini aliwaacha wauaji wenzake wanaishi.Ingekuwa kipindi cha JPM wangesema mengi sana.
JPM ni mtu safi, safi ile kinoma...Hizi sentensi zenu za kijinga siyo dodoki la kumsafisha.Yeye alitoroka maisha lakini aliwaacha wauaji wenzake wanaishi.
Nani kakataza mtu kuwaza atakacho?JPM ni mtu safi, safi ile kinoma...
Hayupo mkuu lakini huo ndio ni uhalisia.Nani kakataza mtu kuwaza atakacho?
Kwako na wenzako.Hayupo mkuu lakini huo ndio ni uhalisia.
Kwani alisingiziwa?Ingekuwa kipindi cha JPM wangesema mengi sana.
Uhalisia ni kwa wote lakini maoni ni yako na ya wenzako.Kwako na wenzako.
Kwenu huko katika familia yenu.JPM ni mtu safi, safi ile kinoma...
Hasafishiki huyo mtu wenu.Ingekuwa kipindi cha JPM wangesema mengi sana.
Vipi hali katika familia yenu iliyokumbwa na sakata la kutumbuliwa kwa watumishi hewa.Kwenu huko katika familia yenu.