Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Chawa nawasalimu, au ndo kwakuwa miili iliyoopewa sio ya ndugu zenu basi hili haliwahusu? Mpaka siku aopolewe nduguyo wa damu ndo macho yatafunguka?
Sio mbuzi, ng'ombe au kondoo, ni watu, miili miwili inaopolewa business zinaendelea as usual, ni kiasi gani hawa watu wanaonyesha kutojali wala kubugudhiwa na hali hiyo?
Haijalishi vijana hao wamefariki katika mazingira gani system imewaangusha, imeshindwa kuwalinda, ilibidi watu wawe wameachia siti mpaka sasa hivi lakini ndio kwanza mtu yuko bize kuchamba vijana, vijana hawa hawa wanaoombeleza maisha ya mwenzao na hawajui kesho yao itakuwaje maana inaweza ikawa wao au jamaa zao!
Ni viongozi wa aina gani ninyi? Hamjachaguliwa, huu kuda ulikuwa wa kuafanya watu wawakubali, yaani hata kinafki lakini what do you care?🤷♀️ Mnasubiri tuje tulipuke tena ili tushindane nguvu!
Unadhani nini yatakuwa matokeo yake? Unabwatuka, unajijua huna akili, sasa si hata upate ushauri kwa wenye akili wakusaidie? Mtu unawezaje kuwa mpumbavu kiasi hiki wewe kila siku unaboronga tu, yaani hata ile saa kuwa nzima mara moja kwa siku kwako haitokei, mishale yote imeanguka!