Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊
1731934725170.jpg
 
Siku moja kabla ya jengo kuanguka nilienda pale kuomba kibarua, wakati nasubiria subiria nikapigiwa simu niende mtaa wa Arusha kuna kazi.
Sasa najiuliza pale ningèpata kazi sijui ningekuwa marehemu au ningeokolewa
 
Hilo ghorofa lilijengwa mwaka gani? Kuna wakati, hata kama mtu humpendi, usimsingizie kitu kisa unachuki naye.
Hilo ghorofa limejengwa zamani lakini kunajingine pembeni lilikuwa linajengwa jipya ambalo halikufuata taratibu za ujenzi lililoruhisiwa na awamu ya sita ndiyo likasababisha kuliangusha Hilo ambalo limeanguka.awamu ya sita imehusika
 
Kuna kukusudia na bahati mbayaa mkuu,
Iwe kwa kukusudia au ya bahati, ulichokisema kwamba, MWISHO WA SIKU WOTE TUTAKUFA, maana yake kwa vile tutakufa hatuna sababu ya kumshitaki yeyote kwa mauwaji. Nasisitiza, kwa mtazamo wako wa kuwa mwisho wa siku wote tutakufa, basi hatuna sababu ya kuwa na sheria ya kumfunga au kumnyonga mtu aliyemuuwa mwingine.
 
Back
Top Bottom