Miili ya Watoto yaongoza kutelekezwa vyumba vya kuhifadhia Maiti

Miili ya Watoto yaongoza kutelekezwa vyumba vya kuhifadhia Maiti

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kati ya Miili 233 inayotarajiwa kuzikwa katika kaburi moja Ndani ya Wiki 3 zijazo, kwa sababu hakuna aliyejitokeza kuidai Kwa ajili ya kuzikwa, 217 ni ya Watoto na 16 ya watu wazima.

Miili hiyo imekuwa imelazwa katika Chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) jijini Nairobi kwa muda wa Miezi Minne.

Aidha, Kulingana na orodha iliyotolewa na Mtendaji Mkuu wa KNH Evanson Kamuri, Watoto ndio kundi linaloongoza Kwa kutelekezwa Mochwari, wengi wakidaiwa kufia Hospitali na kukosa ndugu wa kudai miili yao.

……………….

233 unclaimed bodies at Kenyatta National Hospital set for mass burial

The Kenyatta National Hospital in Nairobi. The Public Health Act says an unclaimed body should be removed from a mortuary within two weeks. If not, it should be buried in a mass grave. Photo credit: File | Nation Media Group

According to a list released by KNH Chief Executive Evanson Kamuri, children are the most affected group by this seemingly growing problem.

Loved in life, alone in death. This statement captures the status of 217 children and 16 adults, whose bodies have been lying at Kenyatta National Hospital (KNH) mortuary in Nairobi for four months.

The bodies will be buried in one grave because no one has turned up to collect any for the final rites.
Relatives and friends have 21 days to get the bodies, with reports indicating that authorities are already seeking consent for burial in order to create room for more at the crowded mortuary.

According to a list released by KNH Chief Executive Evanson Kamuri, children are the most affected group by this seemingly growing problem.

Many die at the hospital every month but their bodies are never claimed.

Source. Nation. Africa
 
sasa unakuta mtu wangu kafa halafu unanidai gharama za kunifilisi kwa nini nisikuachie mwili ubaki nao ?

kama kufa kafa hata nikilipa magharama yote hawezi kurudi
 
Back
Top Bottom