Hongereni kwa kujua baadhi ya ufutaji wa topic wana JF wengine hatuuelewi ndo maana hamuuelewi ,wahenga husema kabla ya anguko huanza kiburi.
sitaki kuhukumu nisiyoyakubali yaliyopita kwa mwingi 85% wa mema yenu ,kuanzia kutujengea jukwaa la kutema nyuki zetu ,naomba nihoji sasa?
- Je moderators ni gold standard kuzidi wajumbe ?
-Je ni sahihi kufuta uzi bila kujadiliana na mtuhumiwa (natural justice) ? nakubaliana na kusitisha kwa muda kupata ufafanuzi maana waandindishi wengi wamewazidi weledi wa wanachoandika
-Je mmejikagua kwa nini ufutaji huo majority ni jukwaa la siasa na celebrity?
-Je kwa nini mmezuia FURTHER REPLIES za uzi huo ,Je mnahulka ya kutopenda kusumbuliwa na ukweli msio upenda ya baadhi ya wajumbe wasumbufu? au mnawatu wachache wao nireputable kuliko wengine ambao wakiwahi kucomment ule wetu tutaofanya FURTHER REPLY.
Kama nakaona ka suspension kwa mbali au kufutwa uzi wa kutosikia the other side.