Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

Ndugu yangu anatatizo la kutetemeka hadi anashindwa kushika kitu akiwa mbele za watu msaada wenu unahitajika jamaa ni mzuri sana tatizo lake ni hilo tu
 
Jamani naomba msaada wa mawazo tafadhari, nimeolewa nina miaka mitatu kwenye ndoa lakini sijabahatika kupata mtoto cha kushangaza ni kwamba tangumeezi January sijapata siku zangu ninakila dalili ya mimba lakini vipimo vinaonesha sina mimba na utrasound insonyesha ndani ya uterus kuna mkusanyiko wa damu ambao si uvimbe wala si mtoto, Cha ajabu nasikia kit kinacheza tumboni na tumbo linakua kubwa. Kiukweli na mimi natamani kuitwa mama naombeni ushauri.
 
Just prayers and fasting na mambo yako ita kuwa sawa and soon you will be mama blessings
 
Tatizo ni akili za mwendokasi..
 
Nimekukubali sana mkuu yaani umeniwekea mambo yamekuwa mterezo bhana big up.....
 
Mkuu nikuulize, hivi kuna tiba ya tatizo la kutockia vizuri ikiwa imetokea tu yaani co tatizo la kuzaliwa nalo, naomba majibu pliz
 
Wakuu mimi nauliza kama naweza kupata MSAMITU kwa juice yake au unga nipo Babati. Msaada nipo seriouz
 
Nmefurah kuanzishwa kwa uzi huu. Ila nina tatizo ambalo nmehangaika sana hospital nying lkn cjapata nafuu. Tatizo Langu. Nikwamba nasikia maumivu mgogongon pia miguu na mikono inachochoma sana. Tafadhar msaada wenu. Nimehangaika sana
 
Dawa yao inachemka.
 
Mtu mkavu Shukuru Mungu mgonjwa akipoa malipo kwa Mungu usilalamike
 
Group A
*Colchicine(colcrys)
Trade name(col-benemind)

*nonsteroidal ant-flamatory drugs(NSAIDs)
Trade name (brufen, indocid)

Group B
*Allopurinol (zyloprim)
(Trade name- duzallo)

*probenecid
(Trade name col-benemind )

*febuxostat

*pegloticase

ANAYEJUA DUKA LA DAWA LINALOUZA BAADHI YA HIZO DAWA MKOA WA DAR ES SALAAM IKIWEZEKANA HATA BEI YAKE NAOMBAA
 
Nmefurah kuanzishwa kwa uzi huu. Ila nina tatizo ambalo nmehangaika sana hospital nying lkn cjapata nafuu. Tatizo Langu. Nikwamba nasikia maumivu mgogongon pia miguu na mikono inachochoma sana. Tafadhar msaada wenu. Nimehangaika sana
Umewahi kupima vidonda vya tumbo?
 
Hiyo dawa huwa ina saidia nn mkuu...?
 
ukiona hivyo kuna matatu
1. wamefanikiwa ndio maana wamekimbia
2. wameona kama vile ushauri si mzuri
3.hawajafanikiwa ----ila hili mara nyingi huwa wanakuja kutoa report kuwa baada ya kufanya hivi limetokea tatizo fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…