Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Hyo inaweza kuwa testicular torsion fanye uende ukapime ili ujue kama kuna complicatn nyingine, Afya muhimuKunawakati pumbu moja inakuwa ina uma ukiibonyeza hii tatizo gan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo inaweza kuwa testicular torsion fanye uende ukapime ili ujue kama kuna complicatn nyingine, Afya muhimuKunawakati pumbu moja inakuwa ina uma ukiibonyeza hii tatizo gan
Ukishasema ana PID means ni complication zenye uwezekano wa 80% za kumuweka mtoto kwenye hatar. Badili helth facility hilo tatzo linatatulika mshauri ndugu yako.habar! naomba nisaidiwe nina ndugu yangu ni mjamzito and anatatizo pia la PId ameshatumia dawa nyingi shida hiyo haijatoka, je kuna uwezekano kiumbe kikakua mpaka mwisho? na kama kuna soln yoyote tunaomba msaada wenu