Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu.
Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja. Bandari zetu ndiyo hivyo zimeshaenda.