Miji inayokuwa kwa kasi

Miji inayokuwa kwa kasi

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Hbr wadau wa JF,

Naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa.

Maana nilinunua viwanja singida mjini lakn after 6yrs nakuja kurud nakuta maendeleo kidogo sana inakuwa km kuzika hela tu.
 
Hbr wadau wa jf,naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa...
Nani akikwambia singida huwa inakua? Ule mji na Dodoma Kama imedumaa hivi licha ya kupata promotion Kubwa.

Jitahidi Mwanza ukuaji wake ni kwa Arthmetic ratio na watu wengi wa Kanda ya ziwa wanategemea kuhamia hapo kutoka musoma, shinyanga, Geita e.t.c
 
Mwanza umemshauri vyema..

Pwani nayo inakua sana along morogoro road.

Kahama

Katoro geita.

Masasi mtwara.

#MaendeleoHayanaChama
 
Geita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Umepatia sana, nmefika asilimia 70 hiyo mitaa
 
Kitu unacho takiwa kukifikiria chakwanza ni ni mji unaoitwa KA HA MA pale huwa napiga salute kila nikipita mara nyingi huwa napita kila baada ya miez 4 mji unakua kwa kasi vibaya sana
 
Kiongozi Singida ipo vizuri sana sema labda wewe hauna upeo mkubwa wa kuangalia ni wapi hasa uwekeze,laiti ingekuwa umewekeza maeneo ya gineri kule viwanja barabarani haupati chini ya milioni 7 kwa ndani kidogo bei zipo milioni 5 hadi 3 ila kama umewekeza maeneo ya misuna hesabu maumivu tu kule hata internet tu kipengele
 
Geita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Ongeza makambako ipo fire visima vya mafuta vinajengwa kila Kona na Ni mji uliopo junction hapa ardhi inapanda thaman kila mwezi
 
Geita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Ikwiriri watu mnapasahau..ila ni kamji kanakokuja juu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanza umemshauri vyema..

Pwani nayo inakua sana along morogoro road.

Kahama

Katoro geita.

Masasi mtwara.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa sasa Mkoa wa pwani Barabara ya Morogoro ni very potential
Serikali iko katika mpango wa kutanua Barabara iwe double road
Kuna ujenzi wa bandari kavu unaendelea kule vigwaza
Kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda
Mradi wa train ya mwendokasi unapita umbali wa kama 20kilometer from morogoro road

Vyote hivi vinapafanya ukanda wa kuanzia kibaha to chalinze watu wahamie kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom