Miji inayokuwa kwa kasi

Miji inayokuwa kwa kasi

Kwa sasa Mkoa wa pwani Barabara ya Morogoro ni very potential
Serikali iko katika mpango wa kutanua Barabara iwe double road
Kuna ujenzi wa bandari kavu unaendelea kule vigwaza
Kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda
Mradi wa train ya mwendokasi unapita umbali wa kama 20kilometer from morogoro road

Vyote hivi vinapafanya ukanda wa kuanzia kibaha to chalinze watu wahamie kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Site kwangu huko Safi kabisa, well narrated.
 
Kwa sasa Mkoa wa pwani Barabara ya Morogoro ni very potential
Serikali iko katika mpango wa kutanua Barabara iwe double road
Kuna ujenzi wa bandari kavu unaendelea kule vigwaza
Kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda
Mradi wa train ya mwendokasi unapita umbali wa kama 20kilometer from morogoro road

Vyote hivi vinapafanya ukanda wa kuanzia kibaha to chalinze watu wahamie kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema..

#MaendeleoHayanaChama
 
Hbr wadau wa jf,

Naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa.

Maana nilinunua viwanja singida mjini lakn after 6yrs nakuja kurud nakuta maendeleo kidogo sana inakuwa km kuzika hela tu.
Si utafute Miji ambayo kuna Kasi kubwa ya uzazi? Na uhamiaji?

Dar,Mwanza,Dom,Kahama,Mpanda,Kasulu,Tunduma,Katoro na Tabora
 
Nani akikwambia singida huwa inakua? Ule mji na Dodoma Kama imedumaa hivi licha ya kupata promotion Kubwa.

Jitahidi Mwanza ukuaji wake ni kwa Arthmetic ratio na watu wengi wa Kanda ya ziwa wanategemea kuhamia hapo kutoka musoma, shinyanga, Geita e.t.c
Dodoma ipi hiyo unayoizungumzia wewe?
 
Hbr wadau wa jf,

Naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa.

Maana nilinunua viwanja singida mjini lakn after 6yrs nakuja kurud nakuta maendeleo kidogo sana inakuwa km kuzika hela tu.
Gamboshi
 
Kwani Iringa manispaa haikui?
Ipamba saizi inakaribia kuungana na nyumba za manispaa.
Ishu kubwa inayo ikabili iringa isiende kasi Sana Ni jiografia ya eneo husika limetawaliwa na milima na mawe ko linaathiri Sana the some mafinga ule mji ulikuwa kasi Sana ila kasi imeanza kupungua ya kutanuka maeneo mengi yamehodhiwa na serikali mji unalazimika kutanukia upande mmoja saohill ,jesh ,magereza kisolansi farm zime chukua maeneo makubwasana the some na njombe msitu wa tanwat na mashamba ya chai miji ambayo itazidi kutanuka zaidi nyanda za juu kusini Ni makambako ,jiji la mbeya, tunduma ,sumbawanga na songea hii miji maeneo yake hayana vikwazo vingi kwote watu wanajenga
 
Back
Top Bottom