Nani akikwambia singida huwa inakua? Ule mji na Dodoma Kama imedumaa hivi licha ya kupata promotion Kubwa.Hbr wadau wa jf,naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa...
Mwanza umemshauri vyema..Nani akikwambia singida huwa inakua? Ule mji na Dodoma Kama imedumaa hivi licha ya kupata promotion Kubwa.
Jitahidi Mwanza ukuaji wake ni kwa Arthmetic ratio na watu wengi wa Kanda ya ziwa wanategemea kuhamia hapo kutoka musoma, shinyanga, Geita e.t.c
Mmmm,mdau igunga mbona km unaniuza sasaGeita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Mmmm,mdau igunga mbona km unaniuza sasa
Umepatia sana, nmefika asilimia 70 hiyo mitaaGeita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Ongeza makambako ipo fire visima vya mafuta vinajengwa kila Kona na Ni mji uliopo junction hapa ardhi inapanda thaman kila mweziGeita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Ikwiriri watu mnapasahau..ila ni kamji kanakokuja juu sana.Geita, katoro, masasi, mbinga, ifakara, kibaha, mafinga, tunduma, katoro, Runzewe, Njombe, kasulu, Igunga, Kahama, tunduma, mpanda, maji moto, Masumbwe, Nyakanazi, Ngara sababu ya migodi ya nikel, chunya ya makongorosi na mkwajuni,
Naunga mkono hoja japo n mji wa kale Sana Tena Sana kwa Sasa ndio unaanza kuinukaIkwiriri watu mnapasahau..ila ni kamji kanakokuja juu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuranga,kisemvuleIkwiriri watu mnapasahau..ila ni kamji kanakokuja juu sana.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa sasa Mkoa wa pwani Barabara ya Morogoro ni very potentialMwanza umemshauri vyema..
Pwani nayo inakua sana along morogoro road.
Kahama
Katoro geita.
Masasi mtwara.
#MaendeleoHayanaChama