Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Wanarusiwa kuzichukuaUza sera hii kwa CCM.
CCM hawana nongwa, kwani sera zao hutokana na kuiba vipande vya sera za wapinzani. Nina hakika hii wataichukua. Hakikisha ,kopi ya uzi wako - cc Dr Nchimbi.
Mambo mengi niliyoyasema na ntakayoyasema sio rahisi kuyatekeleza sababu yanahitaji ufahamu mkubwa sana wa kupiga hesabu za mbali sio tu swala la fedha hapanaKuna nyingi tu ambazo wamezitekeleza. Mfano:
Ndugu zangu, hawa watu wanasikiliza na wanabadilika, lakini si kwa kasi tunayoitarajia. Wanabadilika polepole sana, na hii mbinu ya kubadilika kwa kusikiliza nje ya box ndio uchawi wao kwa wananchi.
- Elimu bure Msingi, sekondari. (CUF-Lipumba/CHADEMA)
- Mikopo chuo kikuu (CUF/ Wanafunzi wenyewe-maandamano wakati wa Mwinyi)
- Ubepari (mfumo wa uchumi huria, ilipigiwa chapu na wapinzani wote wa TANU/CCM)
- Hati miliki (wao walipendelea ofa tu)
Wengi hawajui kwanini asilimia kubwa ya watanzania bado wanaipenda CCM.
Baadhi wanafikiri kwa kugawa kofia, kanga, baiskeli n.k, hapana. Ni mabadiliko madogo madogo wanayoyafanya toka kwa sera za wapinzani ndio ndoana yao.
Hapana..uwezo wanao na Ufahamu wanao. Tatizo ni moja tu kwao..... SIASA INAKUJA MBELE YA UFAHAMU, WELEDI NA UWEZO WA PESA.Mambo mengi niliyoyasema na ntakayoyasema sio rahisi kuyatekeleza sababu yanahitaji ufahamu mkubwa sana wa kupiga hesabu za mbali sio tu swala la fedha hapana