Miji mingine ya Kenya yaipa Nairobi ushindani mkali, nchi inapaa kwenye pembe zote

Miji mingine ya Kenya yaipa Nairobi ushindani mkali, nchi inapaa kwenye pembe zote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakenya wamezagaa, wanawekeza kote nchini, majengo yanaibuka kila mahali, Nairobi imepata ushindani mkali...

Kajiado has emerged as the second investment hotspot for property developers after Nairobi, according to the industry regulator.
Latest National Construction Authority (NCA) applications show that out of the 5,156 project submissions in the 2018/19 fiscal year, 572 were from the county.
Nairobi registered the highest number of applications at 604 followed by Kajiado, Kiambu (491), Nakuru (386), Machakos (323), Mombasa (277) and Kisumu (103).
The data shows that within the county’s five constituencies, Kajiado North, which includes Ongata Rongai, Ngong and Kiserian, had 260 applications, Kajiado East including Kitengela (217), Kajiado Central (52), Kajiado South (29) and Kajiado West (14).
The 2019 quarter three Hass Land Index shows that land value in Kiserian, Kitengela and Ngong appreciated 7.58 percent, 7.9 percent and 6.88 percent respectively between 2007 and 2019.

“Meanwhile, asking price for land has gone up in Kiserian (Sh8.7 million), Kitengela (Sh11.5 million), Ngong (Sh13.7 million) and Ongata Rongai (Sh11.5 million),” the Hass index shows.
During the period, the regulator received 5,156 applications from the 47 counties.
The applications were subcategorised into commercial (1,273), mixed-use (500), residential (3,286) and undefined (97).
In Nairobi, Westlands registered highest application at 128, Starehe (32), Kasarani (80), Embakasi East (94), Lang’ata (105), Kamukunji (36).
Elgeyo Marakwet, Wajir, West Pokot and Turkana submitted the fewest applications at 2, 4, 5 and 7 respectively.
The 2020 Leading Economic Indicators show the value of approved buildings rose by 12.5 billion between the six month to June in 2019 in comparison to the same period in 2018.
 
Subutu, wakikuyu walivyo selfish hawawezi peleka pesa pande ile.

Kuna uzi mlifungua ambapo Mwanza hupokea kichapo kutoka kwa mji wa Kisumu, pili katiba yetu nzuri zaidi ya zote imewezesha miji au gatuzi zinajiendesha bila kutegemea maamuzi ya ikulu.
 
Kuna uzi mlifungua ambapo Mwanza hupokea kichapo kutoka kwa mji wa Kisumu, pili katiba yetu nzuri zaidi ya zote imewezesha miji au gatuzi zinajiendesha bila kutegemea maamuzi ya ikulu.
Naelewa hilo la serikali za majimbo, unataka kusema Nairobi county inapata pesa sawa na Marsabit county?
 
Subutu, wakikuyu walivyo selfish hawawezi peleka pesa pande ile.
Acha kukariri ujinga, mgao wa hela za gatuzi zote 47 ni jukumu la seneti sio ikulu, rais, wala naibu rais. Seneti kuna wawakilishi, maseneta, kutoka gatuzi zote 47. Seneti(tofauti na bunge/National Assembly) ndio 'link' kati ya serikali kuu na serikali za gatuzi. Wao kwa ushirikiano na CAG na wizara ya fedha ndio huwa wanagawa hela hizo na kufatilia matumizi yake kwenye 'counties'. Serikali kuu haihusiki moja kwa moja isipokuwa kufanya 'allocation' kwenye bajeti kupitia wizara ya fedha chini ya usimamizi wa bunge. Katiba ya Kenya inakuza mihimili na mashirika husika, sio miungu watu. 'Financial year' ya 2019/20 gatuzi zilipokea jumla ya KES 393billion! Hiyo ni takriban 27% ya bajeti ya Tz mwaka huo huo wa 2019.
 
MK254 tupeni hongera zetu basi sisi wazawa wa gatuzi la Kajiado. Naona tunahemesha hadi gatuzi za Kiambu na Nairobi. Mambo yamenoga kweli kweli. Sana sana maeneo ya Kitengela, Isinya, Kajiado Town, Ilbissil kuelekea Namanga kwasababu ya uwekezaji na viwanda ambavyo vimejengwa na vinazidi kujengwa kila uchao. Karibu jombaa, ujinyakulie ka'buroti maguta maguta'. Kajiado is the place to make it.
 
Kwa kweli mumenishangaza, itabidi nikamate kiwanja huko hata kama nitakiendeleza baadaye.
 
MK254 tupeni hongera zetu basi sisi wazawa wa gatuzi la Kajiado. Naona tunahemesha hadi gatuzi za Kiambu na Nairobi. Mambo yamenoga kweli kweli. Sana sana maeneo ya Kitengela, Isinya, Kajiado Town, Ilbissil kuelekea Namanga kwasababu ya uwekezaji na viwanda ambavyo vimejengwa na vinazidi kujengwa kila uchao. Karibu jombaa, ujinyakulie ka'buroti maguta maguta'. Kajiado is the place to make it.
I am thinking of buying land pande za Kitengela au anywhere around those areas. Kuna title deeds genuine huko?
 
Mumenishangaza ndio nini mkuu

Bro, utanitafuta sana ila neno 'mahari' hukulitumia ipasavyo, samahani naona imekunyima amani masaa yote haya unahangaika wapi pa kunifukia, leo ni Jumatatu fanya kazi kwanza....
 
Bro, utanitafuta sana ila neno 'mahari' hukulitumia ipasavyo, samahani naona imekunyima amani masaa yote haya unahangaika wapi pa kunifukia, leo ni Jumatatu fanya kazi kwanza....
Hiyo mahari ndo naikumbuka sahivi... Wala hata usiwaze nilikuwa nakusahihisha tu.
 
Back
Top Bottom