Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Nairobi inapata pesa kidogo kuliko hata Turkana countyNaelewa hilo la serikali za majimbo, unataka kusema Nairobi county inapata pesa sawa na Marsabit county?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi inapata pesa kidogo kuliko hata Turkana countyNaelewa hilo la serikali za majimbo, unataka kusema Nairobi county inapata pesa sawa na Marsabit county?
Mwalo Chibya leta hiyo cbd ya kisumu tuone hayo majengo kila mahali
Wakenya mnapenda sana kujipapromo wakati hamna lolote
Mahari nimeandika wapiPeleka mahari hukoo bukoba kwanza
Chakula hakuna mpaka mnauziwa mahindi ya 1980 toka mexicoWakenya wamezagaa, wanawekeza kote nchini, majengo yanaibuka kila mahali, Nairobi imepata ushindani mkali...
Mzee baba mbona picha za majengo huweki? Wengine ni wakina tomasoHeehehe!! Huku ndiko ulifika...
hahaa alaf naona siku hizi kiswahili chake kimenyooka tisti utadhan mtz mazee!😂 hawa warundi hatari sanaa,immigration tz wamelalaa!!Heehehe!! Huku ndiko ulifika...
Turkana ndio inapata pesa nyingi kuliko county zote kenya km sikosei...Naelewa hilo la serikali za majimbo, unataka kusema Nairobi county inapata pesa sawa na Marsabit county?