bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Katika kitu nachokipenda katika maisha yangu ni kusafiri asee,yaani kwenda mahali tofauti na pale nilipopazoea au ninapokaa.
Safari yangu ya kwanza ilikua ni kutoka Mtwara kwenda Mbeya Tukuyu kwa bibi,nilikua na miaka 8 kipindi hicho.Safari ilianza saa 11 alfajiri na Land Rover 110 ya mzee,barabara ya Mtwara Songea ilikua mbaya sana ila nashukuru tulifika salama kesho yake jioni,nakumbuka tulilala Songea.
Kwa sasa natamani kutoka nje ya Tanzania kwa safari ya kilikizo kama hii na ifuatayo ni miji nayopenda kutembelea na sababu za kunifanya niwe na hamu hiyo.
Addis Ababa,Ethiopia.
Huu ndio mji mkuu wa ardhi ya Afrika iliyoweza kumpiga mkoloni,nataka niuone utamaduni wao na pia nataka nitembelee iliyokua kasri ya mfalme Haille Sellasie,halafu pia kuna watoto wazuri balaa.[emoji6]
Havana,Cuba.
Daah namkubali sana mtu mzima Fidel Castro,na inshaallah mwanangu wa kiume ntampa jina hili yaani Fidelcastro XXXX.Na ile mitaa ya Havana ilivyo kaa ki"old skul" napenda sana ile kitu.
Pyongyang, North Korea.
Mimi siamini wanavyosema eti watu wanakufa njaa,watu maskini,mara shida tupu,nataka niende nikajionee mwenyewe,hata kama wanasema watalii wanapelekwa sehemu nzuri nzuri tu na kuna sehemu ni marufuku kutembelea ila bado naamini kuna kitu cha kijifunza.
Dubai,UAE.
Nataka nikaendeshe Land Rover jangwani na kufanya "sky diving".
Lagos,Nigeria.
Daaah hawa masela kutoka Nigeria nshakutana nao mtaani hapa,wengi wao wako " smart " sana na wanajiamini balaa.Labda ntakuja kukutana na yule "Nigerian Prince" anaetafuta mtu kumpa hela zake sababu yeye ni yatima[emoji1] [emoji2] .
Amsterdam, The Netherlands.
Haa hapa nataka nipite maeneo yale ya "wilaya nyekundu" na nikavute weed ya ulaya [emoji6] ,na kidogo nisahau ,malaya nao wa kizungu.
Vipi wewe mdau unatamani uende mji gani na kufanya nini???
MIJI AMBAYO NISHAITEMBELEA NJE YA TZ:
Nairobi, Mombasa,Malindi na Nakuru nshawahi pita.
Kampala.
Cape Town.
Johannesburg.
Miji ambayo sijaitembelea kwa TZ:
Bukoba,Rukwa,Kigoma,Tanga(ila nshafika Korogwe[emoji6] ),Tabora.Ambayo sijaitaja nshafika yooooteeeee.