Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
To Deal With High IQ People: Master Persuasion And Negotiation.Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Watoto wa sasa hivi hawana maeneo ya kuchezea nawaonea huruma sana utoto wao ni mgumu
Kuna mda mtu unatafuta hata eneo la kwenda kutuliza akili hamna kwa wale wanywaji wanalazimika kwenda bar
Kuna mda najiuliza hivi hatuoni umuhimu wa kuwa na public garden mfano wa yale maeneo ya jeshi yaliyotengwa
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA PUBLIC GARDEN, OPEN SPACE NA SPORT CENTRE SERIKALI YANGU ITAKUA TAYARI KULIPA WATU FIDIA ILI HAYO MAENEO YAWEZE KUTENGWA
Yale maeneo yaliyotengwa na serikali na kuchukuliwa kihuni yatarudishwa bila fidia uzuri mmoja ramani zipo labda zichomwe moto zote
Kuna mda najiuliza sisi waafrika na watanzania tuna-allergy na vitu vizuri kwa sababu watu hawajali kabisa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Hazipo kwasbabu wanahofia watu kukusanyika na kwandamana ni hateri kwa serikali sio Tanzania almost nchi nyingi zenye fragile democracy zina hofu, za kua na freedom SquareMiaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Watoto wa sasa hivi hawana maeneo ya kuchezea nawaonea huruma sana utoto wao ni mgumu
Kuna mda mtu unatafuta hata eneo la kwenda kutuliza akili hamna kwa wale wanywaji wanalazimika kwenda bar
Kuna mda najiuliza hivi hatuoni umuhimu wa kuwa na public garden mfano wa yale maeneo ya jeshi yaliyotengwa
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA PUBLIC GARDEN, OPEN SPACE NA SPORT CENTRE SERIKALI YANGU ITAKUA TAYARI KULIPA WATU FIDIA ILI HAYO MAENEO YAWEZE KUTENGWA
Yale maeneo yaliyotengwa na serikali na kuchukuliwa kihuni yatarudishwa bila fidia uzuri mmoja ramani zipo labda zichomwe moto zote
Kuna mda najiuliza sisi waafrika na watanzania tuna-allergy na vitu vizuri kwa sababu watu hawajali kabisa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Watoto wa sasa hivi hawana maeneo ya kuchezea nawaonea huruma sana utoto wao ni mgumu
Kuna mda mtu unatafuta hata eneo la kwenda kutuliza akili hamna kwa wale wanywaji wanalazimika kwenda bar
Kuna mda najiuliza hivi hatuoni umuhimu wa kuwa na public garden mfano wa yale maeneo ya jeshi yaliyotengwa
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA PUBLIC GARDEN, OPEN SPACE NA SPORT CENTRE SERIKALI YANGU ITAKUA TAYARI KULIPA WATU FIDIA ILI HAYO MAENEO YAWEZE KUTENGWA
Yale maeneo yaliyotengwa na serikali na kuchukuliwa kihuni yatarudishwa bila fidia uzuri mmoja ramani zipo labda zichomwe moto zote
Kuna mda najiuliza sisi waafrika na watanzania tuna-allergy na vitu vizuri kwa sababu watu hawajali kabisa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Tanzania inahitaji akili mpya zilizopo haziwezi tutor hapa tulipo huo ndo ukweliTumejaza wapima waliosoma chuo cha ardhi hawana exposure totote zaidi ya kukata viwanja
Bahati mbaya na viongozi nsio wanaongoza kujipa open spaces
Inatoka na masoko yanakua ndo mipango miji wanaenda- yaani mipango miji ndo wanafuata masokoMasoko yapo barabarani badala yakutengewa sehemu zake,,alafu utegeme foleni kuisha..,π€
Moja kati ya vitu navichukia kwenye majiji na miji yetu ni hilo ulilolisema, aisee huwa nakasirika sana kuona hakuna sehem ya kupmzikaMiaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Watoto wa sasa hivi hawana maeneo ya kuchezea nawaonea huruma sana utoto wao ni mgumu
Kuna mda mtu unatafuta hata eneo la kwenda kutuliza akili hamna kwa wale wanywaji wanalazimika kwenda bar
Kuna mda najiuliza hivi hatuoni umuhimu wa kuwa na public garden mfano wa yale maeneo ya jeshi yaliyotengwa
MIMI NIKIWA RAIS KUTAKUWA NA PUBLIC GARDEN, OPEN SPACE NA SPORT CENTRE SERIKALI YANGU ITAKUA TAYARI KULIPA WATU FIDIA ILI HAYO MAENEO YAWEZE KUTENGWA
Yale maeneo yaliyotengwa na serikali na kuchukuliwa kihuni yatarudishwa bila fidia uzuri mmoja ramani zipo labda zichomwe moto zote
Kuna mda najiuliza sisi waafrika na watanzania tuna-allergy na vitu vizuri kwa sababu watu hawajali kabisa
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Mandhari ya furahisha ni mbaya sana inatakiwa iwekwe vizuriKwa jiji la mwanza zipo open space na gardens.
- Kemondo opp. Old BOT
- Kamanga Bismark rock garden
- Furahisha stadium
Ni kwa sababu mji haujakua mkubwa nakuhakikishia mji ukikua sana zitaota mbawaSumbawanga zipo angalau
Ukiweza kuja na mpango miji mizuri kwa nchi yetu nitakupigia kura ya urais.Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya
Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space, garden au sport centre kinachosaidia kwa mbali ni yale maeneo nguzo za umeme mkubwa wa taifa zinapopita hizo sehemu ndo zimesalimika
Miji mingine midogo open space zipo ila ni kwa sababu miji haijakuwa siku kukiwa na ongezeko kubwa la watu zitaota mbawa