Unakuja kupima miji wakati watu wameshajenga tayariHao mipango miji ni deal tupu
Hamna kitu kina-uzi kila mahali unaona frame zinajengwa kuna mda unajiuliza inamaana hakuna mambo mengine ya kufanya mbona nchi nyingine hazina frame kila kona na wameweza sisi tunashindwa wapi
Tatizo lipo kwa viongozi wetu wao ndo wakusimamia mipango miji ila ndo hivyo hawafanyiNchi ya wachuuzi hii wenyewe wanaita hivyo viwanda.