Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

kituo cha mafuta cha GBP sinza Mori lile eneo ni eneo la wazi
 
Wakati fln tembelea mkoa wa mara angalau hawana sehemu nzuri za kupmzika ila mji umepangiliwa vizuri tu
 
Watanzania hasa watu wa Dar wakiwa na miadi wanakutana Bar, that's bullshit!!!!

Badala ya kupanga kuoanana sehemu za wazi kama hizo bustani mnachukua kila kitu ili watu wakutane huko bar..
 
Nchi ya frames hii. Open space yeyote ile wanajaza frames. Mwenye mtaji na asiye na mtaji wote wanawaza kujenga frames tu. Mawaziri nao wanashindana kujenga frames this country is doomed.
kila mahali unaona frame zinajengwa kuna mda unajiuliza inamaana hakuna mambo mengine ya kufanya mbona nchi nyingine hazina frame kila kona na wameweza sisi tunashindwa wapi
 
hapa moro wakati miaka 90 ilipo bar snake palikuwa na mabembea na michezo ya watoto na sehem ya kupumzikia kwa sasa pameuzwa na manipaa imekuwa bar. Ukienda mango garden nako hivyohiyo. Imebaki garden moja tu ya Saba saba.
 
Watanzania wengi sehemu ya kukutana ni Bar, kwenye kitimoto au hotelini.
 
Mipango miji haijapewa kipaombele Tz.
Ramani zinabaki kwenye karatasi utekelezaji 0 utaambiwa hakuna budget, ila hawaoni wanavyotumia gharama kubwa kupeleka miundombinu na huduma kwenye maeneo yasiyopangwa.
Makazi holela ni janga, siku za mbeleni atatokea kiongozi mmoja atazungumzia hili jambi atawaponda watangulizi wake alaf ataonekana yeye ndo shujaa.
Ni huzuni
 
Mbona maza kasema tumewazidi ulaya na marekani
 
Labda wameweka kwa dira ya taifa ya 2050
ChoiceVariable baba-mwajuma
Ni ustaarabu wa watu pia, Sisi Tanga huku tuna open space na Garden za Kutosha, sio Tu Tanga Mjini hadi Wilaya zake. Wanapokuja wawekezaji wenyewe wanafahamu ili ukubalike Tanga unatakiwa utoe huko, Hao hao kina Asas na wengineo ndio hao hao wanaojenga garden zetu

Ni culture yetu mtu kutoka jioni kwenda Baharini kupunga upepo kukaa kwenye Bustani etc so tuna value hivyo.

Kama watu wa Eneo husika wenyewe hawa value hivi vitu usitegemee viwepo, hizi tabia zinaanza kwenye Familia.
 
Na waswahili open space wanageuza dampo

Ikifika usiku, unakutana na raia zimebeba mafurushi yanaenda ku dump open space...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…