Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 17, 2025 #41 Inasikitisha sana
Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 Jul 17, 2025 Thread starter #42 Chukwu emeka said: Hao mipango miji ni deal tupu Click to expand... Unakuja kupima miji wakati watu wameshajenga tayari
Chukwu emeka said: Hao mipango miji ni deal tupu Click to expand... Unakuja kupima miji wakati watu wameshajenga tayari
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 14,421 Reaction score 30,962 Jul 17, 2025 #43 Dennis Robert Shughuru said: Hamna kitu kina-uzi kila mahali unaona frame zinajengwa kuna mda unajiuliza inamaana hakuna mambo mengine ya kufanya mbona nchi nyingine hazina frame kila kona na wameweza sisi tunashindwa wapi Click to expand... Nchi ya wachuuzi hii wenyewe wanaita hivyo viwanda.
Dennis Robert Shughuru said: Hamna kitu kina-uzi kila mahali unaona frame zinajengwa kuna mda unajiuliza inamaana hakuna mambo mengine ya kufanya mbona nchi nyingine hazina frame kila kona na wameweza sisi tunashindwa wapi Click to expand... Nchi ya wachuuzi hii wenyewe wanaita hivyo viwanda.
Dennis Robert Shughuru JF-Expert Member Joined May 30, 2024 Posts 5,559 Reaction score 8,747 Jul 17, 2025 Thread starter #44 Bufa said: Nchi ya wachuuzi hii wenyewe wanaita hivyo viwanda. Click to expand... Tatizo lipo kwa viongozi wetu wao ndo wakusimamia mipango miji ila ndo hivyo hawafanyi
Bufa said: Nchi ya wachuuzi hii wenyewe wanaita hivyo viwanda. Click to expand... Tatizo lipo kwa viongozi wetu wao ndo wakusimamia mipango miji ila ndo hivyo hawafanyi