Habari ndugu wadau. Hivi watanzania nini tatizo.? Miji yote ukitoa Arusha na Moshi ni michafu kupindukia, watu wanakojoa na kunya ovyo. Plastic zipo kila mahali mitaro imejaa inanuka vinyesi.Hii nchi ya namna gani?
Watumishi wa Serikali wapo wanakula mshahara hakuna kinachoeleweka nani anasimamia usafi wa mazingira na kutunga Sheria
Afisa afya wa kata, tarafa wilaya mkoa wanafanya nini?
WAZIRI wa Mazingira ana mishe gani au bajeti za halimashauri na tozo zinaenda wapi na hatuwezi kuchakata taka?
Ni aibu kubwa saaana tunaaibisha taifa hatuna tofauti na wanyama kama kuku na bata.