Miji Yenye Pisi Kali

capitalpool

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
22,363
Reaction score
121,260
Miji 10 yenye pisi kali:
1. Dar 2. Arusha
3. Dodoma
4. Bukoba
5. Tanga
6. Moshi
7. Babati
8. Singida
9. Mwanza
10. Mtwara

Dar: kimbilio la pisi grade A nchini, kuna kila aina ya pisi sound zako tu. Fahari ya macho Mwenge na kituo cha mwendokasi Shekilango.

Arusha: Wezere za Wameru na rangi ya mitume toka kwa watoto wa kimbulu na iraq? Hapa ndio kwao.

Dodoma: Uwepo wa vyuo vingi umenogesha mji, serikali kuhamia ndio kabisaa! Boom likichelewa utapapenda. Fisi hapa ndio HQ yao

Bukoba: Naam magwiji wanapaita kisimani chimbuko la pisi kali zote zinazosumbua mjini daslama, mwisho wa mwaka Kitulo huamia hapa, MAUA.

Tanga: Huwa zinafichwa kwenye mabaibui, ukibahatika kuiona kwenye jeans utakata shingo. Lafudhi na uchotara hakikisha nauli ipo M-Pesa.

Moshi: Ushawahi kutamani mwaka ungekua na December zaidi ya 3? Basi karibu Moshi December hii.

Babati: Kabla hawajapata 'transfer' ya Arusha huanzia hapa, kuna baadhi ya Twiga toka Kondoa hapa ndio kwao. Kanzu na kofia ndio kigezo chao

Singida: Damu ya kiarabu ikimix na bantu hutoa kitu 😎 Panaitwa Doha ya bongo pisi zote zinawaka. Beyonce na Kim K chimbuko lao ni hapa.

Mwanza: Hakuna cha zaidi ya wasiopenda 'ugonjwa wa Taifa'. Panaitwa Rocky City kwasababu, nusu ya ile milima pisi wameibeba nyuma.

Mtwara: Yes, kama Mwanza upande wa milima. Kuna msemo wa Wahenga "uzuri wa Msichana sio sura bali ni ndani ya kuta nne". Walimaanisha


C&P
 
Namba moko ni Ar haujakutana na modern maasai wewe afu namba 2 ni dsm japo wengi sio wazawa wa dsm
Coz wamehamia so nawatoa apo maana wazaramo ni maneno mengi ila uzuri 0

Afu kuna wale mademu mchanganyiko wa rwanda na Tz wanapatikana uko singidan, bukoba na dodoma asee ni hatari
 

Oya wewe acha ujinga basi mbona hivyo aisee...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…