Mijitu Mingine!!!!!!!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa.
Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii?
Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba, maisha yanakuwa magumu. Ukiachana nae , mashallah, kila kitu kinakunyookea
 
Jitu la Kike au Kiume??

soma nyota yako na yake mkuu
 
Ahahahaaah!!! Hii ina ukweli aisee.
 
mie kabla ya kwenda kulala na kidemu huwa kwanza nacheza ana ana ana doo. Nalog off
 
unaweza shangaa ukiwa nae hata kazi unafukuzwa!
 
haahahahha vibaya jamani sasa mkosi wake yeye unahusiana nanini...? msiwatenge wenzenu.
 
Hizo ni imani, hazina uthibitisho wa aina yoyote.
 

Naona yamekukuta mzee.
 
Kuna watu wana nuksi kweli lakini. Akikusalimia asubuhi, hata kama una safari. Airisha. Mana siku nzima nuksi
 
unaweza shangaa ukiwa nae hata kazi unafukuzwa!
wengine mna gundu wenyewe mnasingizia wenza wenu, kama wewe ulifanya uzembe kazin unategemea wakuchekee tu iyo kazi ni baba yako au?
 
Sijapenda kauli uliyotumia kuwadefine wanadamu wenzako!Punguza ukali wa maneno!
 
kuna kipindi cha kupanda na kushuka.hayo magundu ndo ilikuwa time yake.hayajaletwa na huyo mwenza wako.Usione unamafanikio sasa hivi ukasema alikuwa gundu.Acha kumtusi mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…