Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,973
- 9,572
Tatizo watu hawasali hata kabla ya kulala!
Ukimwomba mungu wakati wa kupunzika hizo nuksi hazitakuandama, na asubuhi ukiamka kitandani mshukuru mungu. nakuambia mungu anakuepusha na nuksi zote, unaweza ukajikuta unataka kuwa na mtu fulani siku labda ya leo, unashangaa dhamira yako inakataa mwishowe una give up!