mlango wa nane huo
Mijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa.
Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii?
Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba, maisha yanakuwa magumu. Ukiachana nae , mashallah, kila kitu kinakunyookea
yaani buji bora umesema wewe. Ila watu malaya wasioweza kutulia na mtu mmoja, hao ndo wana mabaläa zaidi. NawakilishaMijitu mingine ni kama wingu jeusi, ikiondoka tu siku yako hung'aa.
Je umewahi kukutana na miwatu ya aina hii?
Ukiwa nalo magundu yanakuandama, mara marafiki wanakutenga, dili zinagonga mwamba, maisha yanakuwa magumu. Ukiachana nae , mashallah, kila kitu kinakunyookea
Kuna wanao dai,huyu demu ana bahati kweli ukiwa naye mambo yote yananyooka.
yaani buji bora umesema wewe. Ila watu malaya wasioweza kutulia na mtu mmoja, hao ndo wana mabaläa zaidi. Nawakilisha