Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

KIOO asante sana kwa hizi nyimbo ulizotupia hapa, maana hua natafuta nyimbo za zamani na sijui wapi pa kuzipata
 
Tamala- hardmad ngoma ni classic kutoka kwa mika
 
Kama kuna tuzo zitatolewa kwa waliofanikisha mziki wa bongo flava kufika hapa Mika anastahili kupokea hata kufikishiwa popote alipo ikiwezekana nadhani atafarijika sana hata akitangazwa tu hadharani. salute sana kwa kazi zako nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…