Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa jamaa anaitwa NANI... mi sijaipata mkuu bonge la ngoma ilikuaHii ngoma mpaka Leo naisaka bila mafanikio msanii anaitwa NANI.. hii ngoma enzi hizo ilikuwa inaoneshwa sana channel ya C2C ...
Rangi ya chungwa.Kuna ngoma ya Ismail ile anaimba " unansononesha unansikitisha pale unapopita na vazi lako LA kanga , honey moyoni mwangu mi sina raha " nje ya mada kidogo KIOO kama unayo naomba huu wimbo tafadhali
Kwa hivyo yuko wapi huyu mwamba?
Natamani hii thread Iende kama ile ya P-Funky.
Wataalam watundike na "maudio" kabisa humu
1.chambua kama karanga-saida karoli
2.kitobelo-saida karoli
3.Mapenzi kizungu zungu-saida karoli
4.Wanok nok-Mandojo&domokaya
5.taswira-mandojo&domokaya
6.niaje-mandojo&domokaya
7.Nizikwe hai-mandojo&domokaya
8.Nyambizi-dully sykes
9.julieta-dully sykes
10.salome-dully sykes
11.nyambizi-dully sykes
12.hi-dully sykes
13.Historia ya kweli-dully sykes
14.hip hop mdundiko-mambo jambo
15.embe dodo- benjamini
16.Elimu mitaani.com-D knob
17.mtoto wa geti kali-insp haroun
18. Rudi mpenzi -BDP
19.wosia-BDP
20.Kitambo kidogo-BDP
21.Kamanda-Daz nundaZ
22.Barua-Daz nundaz
23.Matatizo-Daz nundaz
24.Maji ya shingo-Daz Nundaz
25.omba umauti-fagio la chuma
26.fagio la chuma-fagio la chuma
27.Siri yangu-jay dee
28.usiuseme moyo-jay dee
29.wanaume kama mabinti-jay dee
30.Nakumind-temba
Dah km ni kweli basi bongo fleva itamkumbuka sana asee mana hawa kina laizer sijui wanatengeneza vitu gani cku iziMiikka mwamba alirudi kwao Finland, now anafanya kazi ya ukalimani nchin Finland anafanya ukaliman kutafsiri lugha ya kiswahili
Marehemu Roy, alikuwa kakake na EnikaBaridi ya Enica alitengeneza nani?mana lilegoma ni balaaa mpaka sasa sijaona,pamoja na hiyo Eno mic