Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
MashallahChid Benz ft Mzee Yusuph
Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MashallahChid Benz ft Mzee Yusuph
Japo ile ngoma sikumbuki jina lake but hii ngoma ni kali sana kwa muda wote
Wanaitwa A Unit hii hapaHii ngoma mpaka Leo naisaka bila mafanikio msanii anaitwa NANI.. hii ngoma enzi hizo ilikuwa inaoneshwa sana channel ya C2C ...
Nimekuwekea juu hapoYaa jamaa anaitwa NANI... mi sijaipata mkuu bonge la ngoma ilikua
Unyama aliofanya Mikka kwenye hii Hi, noma sana[emoji2398]
Downtown nao walikuwa noma sana.. chocolate ya Mr Paul na Jos Mtambo walinyonga sana sana, hivi si hata ile nisikilize mimi ya Pig Black na Blue si ni D Money pia?
Naiomba nyimbo hio nimetoka msikiliza apa kwa julietha ya dully ni laanaMikka alikuwa mbele ya muda sana, moja ya beat kali sana aisee, hivi ile life ya uswazi inspekta amepiga chorus ni Mikka pia?
Twenzetu-Chege1. chambua kama karanga-saida karoli
2. kitobelo-saida karoli
3. Mapenzi kizungu zungu-saida karoli
4. Wanok nok-Mandojo&domokaya
5. taswira-mandojo&domokaya
6. niaje-mandojo&domokaya
7. Nizikwe hai-mandojo&domokaya
8. Nyambizi-dully sykes
9. julieta-dully sykes
10. salome-dully sykes
11. nyambizi-dully sykes
12. hi-dully sykes
13. Historia ya kweli-dully sykes
14. hip hop mdundiko-mambo jambo
15. embe dodo- benjamini
16. Elimu mitaani.com-D knob
17. mtoto wa geti kali-insp haroun
18. Rudi mpenzi -BDP
19. wosia-BDP
20. Kitambo kidogo-BDP
21. Kamanda-Daz nundaZ
22. Barua-Daz nundaz
23. Matatizo-Daz nundaz
24. Maji ya shingo-Daz Nundaz
25. omba umauti-fagio la chuma
26. fagio la chuma-fagio la chuma
27. Siri yangu-jay dee
28. usiuseme moyo-jay dee
29. wanaume kama mabinti-jay dee
30. Nakumind-temba