enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU)
Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki.
1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down)
2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad Ice (Baby Gal)
3. Tanzania - HardMad (Tamala), Saida Karoli (Salome), Dudu baya (Mpenzi), Picco (Kikongwe), Balozi (kwenye chati)
kumbuka kwa hapa Tanzania alikuwa anafanya muziki kama side hustle / part time, hakuwa anafanya full Time, Muda mwingi alikuwa anarudi kwao Finland kuendelea na shughuli zake, si ajabu hakuweza kutengeneza muziki full time kama kina P na Master J sababu mshahara aliokuwa analipwa hapa bongo haukuweza kukidhi maisha yake ya Ulaya ambako hata zile kazi zenye vipato vidogo sana mtu analipwa si chini ya elf 20 kwa saa.