Mikakati itakayofanya CHADEMA yetu iwe chama cha umma cha ukombozi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu.

Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani.

Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza Pambalu wag'olewe. Wapo kujaza matumbo tu.

Lissu awe katibu mkuu.
 
Usiyemtaka kajaa tele. Tuliza mzuka we UVCCM.
 
Upumbavu mwingine huu,Mh.Mbowe why kila wakati anakunyima raha?,kila siku mada za Mh.Mbowe why ?,na unawataja watu kwa majina humu wakati huna ushahidi wowote, na wewe umejificha kwenye Id fake, kunguru mkubwa wewe, pigana mwenyewe usitegemee wengine wakupiganie
 
hiyo ni mbinu ya kukigawa na kukisambaratisha kiwe kama kile cha hayati Lyatonga Mrema cha awali
 
Acha ujinga bana. Hii mada ni ya Mbowe?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Unafikiri Sisi ni wadanganyika?

Kaeni humo humo ndani ya futi sita.. mmalizie kujifukua kabisaaa..
 
Dogo wa Mwanza homeboy umenikumbusha kitambo aisee ila dogo wa Mwanza ni mzalendo sanaa na mtu wa dini sana mkatoliki...

Dogo wa Mwanza alikuaga ana fanya fundraising akipata pesa anaenda kutembelea wafungwa Gereza la butimba na hospital bugando..

Dogo pia ana hofu sana ya MUNGU labda awe amebadilishwa na walimwengu...

Dogo angekuaga mtu wa kuunga mkono juhudi mbona angesaliti chama asbh na mapemaa enzi za JPM

Cc. Erythrocyte
 
Acha ujinga bana. Hii mada ni ya Mbowe?
Kamanda Aliyechoka vipi tena? Mbona unaonyesha kama mtu wa [emoji304] ambaye amekosa soko hivyo kachanganyikiwa anarukia rukia watu?
Acha kudandia watu wenye heshima zao maana hutawapata, una hamu sana basi okota jiwe piga gari la polisi wakikupekeka mahakamani kiri kosa utapelekwa
Segerea ukifika wenzako waambie unahamu.
Utafaidi sana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
KMng'oe kinana kwanza. Huyo lisu mliyempiga risasi mkataka kuumua leo amekuwa mwema kwako? Pesa za umma kaanzie kuhoji lumumba wanapokula pesa za nchi.kenge maji wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…