Mikakati itakayofanya CHADEMA yetu iwe chama cha umma cha ukombozi

Mikakati itakayofanya CHADEMA yetu iwe chama cha umma cha ukombozi

Kamanda Aliyechoka vipi tena? Mbona unaonyesha kama mtu wa [emoji304] ambaye amekosa soko hivyo kachanganyikiwa anarukia rukia watu?
Acha kudandia watu wenye heshima zao maana hutawapata, una hamu sana basi okota jiwe piga gari la polisi wakikupekeka mahakamani kiri kosa utapelekwa
Segerea ukifika wenzako waambie unahamu.
Utafaidi sana

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyo ni mamluki
 
Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu.

Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani.

Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza Pambalu wag'olewe. Wapo kujaza matumbo tu.

Lissu awe katibu mkuu.
Ukimwondoa Mbowe hakuna upinzani Tanzania! Wewe utakuwa mtu mjinga sana.
 
Back
Top Bottom