PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
817
Reaction score
881
"Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu,
  1. Muwe na viongozi wenye dira chanya,​
  2. Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa,​
  3. Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi,​
  4. Wazalisheni viongozi wenu wenye maadili na uaminifu,​
  5. Acheni kugombana na vyombo vya ulinzi na usalama,​
  6. Fanyeni siasa zinazozingatia mazingira ya Tanzania. Msithubutu kuiga siasa za majirani bila tafakari. Kwani, mapinduzi ya Kisiasa Hayaji kwa Kejeli, Bali kwa Mikakati "— Alloyce, P.R.​
 
Kwa mfumo tulio nao ha ndani, hizo ni ndoto za saa nane mchana.
Kwa katiba ipi,
kama ule upande kuna malaika asiyeguswa, unategemea muujiza gani kumtoa mtu kwenye kiti cha kifalme. Wewe jiandae kwenda kutick, PERIOD
 
Shida za wananchi hata CCM wanazijua.

No Reform, No Election.
 
Kwa mfumo tulio nao ha ndani, hizo ni ndoto za saa nane mchana.
Kwa katiba ipi,
kama ule upande kuna malaika asiyeguswa, unategemea muujiza gani kumtoa mtu kwenye kiti cha kifalme. Wewe jiandae kwenda kutick, PERIOD
Ukirejea uchaguzi mkuu wa 2010 na 2015. Utajua namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom