Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Ukirejea uchaguzi mkuu wa 2010 na 2015. Utajua namaanisha nini.Kwa mfumo tulio nao ha ndani, hizo ni ndoto za saa nane mchana.
Kwa katiba ipi,
kama ule upande kuna malaika asiyeguswa, unategemea muujiza gani kumtoa mtu kwenye kiti cha kifalme. Wewe jiandae kwenda kutick, PERIOD
Na upinzani wanazijua hizo shida? ππShida za wananchi hata CCM wanazijua.
No Reform, No Election.
Sawa Sawa ova.Ndoto hizooo
Ova