SoC02 Mikakati ya vita katika kuzinemesha nchi tajiri kwa kuzinyonya nchi changa, (Vita na Uchumi)

Stories of Change - 2022 Competition

Tibaiwa

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
51
Reaction score
38
Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia.

Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:-

Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi na kulizidi, basi taifa lenye nguvu linaweza kuanzisha vuguvugu la chinichini na taifa hilo ili kulizorotesha huku lenyewe likiendelea kujiendeleza na kujiimarisha zaidi kiuchumi na kulifanya taifa jirani liendelee kuwa tegemezi wa bidhaa kutoka kwake pamoja na misaada itakayolibana.

Uroho wa mali, Madaraka na mipaka ya nchi, nchi nyingi zimekuwa zikiingia kwenye migogoro isiyoisha pale nchi moja inapokuwa na rasilimali nyingi za kuikuza kiuchumi na hizo rasilimali zikiwa kwenye mipaka au hata mbali na mipaka basi misigano uzuka na kusababisha mapigano ua migogoro ya kudumu.

Bara la Afrika mpaka sasa hakuna nchi yenye huwezo wa kuzalisha silaha kubwa za kivita hivyo Mataifa makubwa kiuchumi yanaona hii ni fursa kwao kwani usemi wa “vita ya panzi ni furaha kwa kunguru” ujidhihirisha kupitia haya. Mataifa haya yamekuwa mstari wa mbele kuishinikiza Afrika katika kuchagua pande fungamani ili wapate kichocheo cha mapigano kwa kukuza uhasama miongoni mwa nchi rafiki ili bidhaa yao ya siraha ije kupata soko hapo baadae. (Afrika tufungamane kwenye umoja na upendo tusimegane wala kumegwa na mataifa makubwa kiuchumi). Tuamke katika hili. Kauli yetu hiwe “hatutaki vita”.

Ili tukawaamshe kuwa wabuni vyanzo vingine vya kujiingizia kipato kuliko zana za kivita zisababisha umwagaji wa damu.

Mifano halisi ya vita ya kiuchumi na madhara yake kupitia fikra potofu na kandamizi/fikra dunishi.

Afrika tulidogodishwa kiakili, kimaumbile hususani ngozi na kimaumbo, kupitia ulimbukeni uliowakuta na unaowakuta baadhi ya watu na kuona hatuna ubora wa ngozi ikawa fursa kwao kwa kutengeneza vipodozi vyenye kuibabua ngozi ya asili na huo weupe unaopatikana kwa kubabuka haufikii kiwango cha weupe wao pamoja na vile vidonge vya kuongeza maumbo.

Matumizi ya nywele bandia kutoka ughaibuni yanaendelea kusitawisha viwanda vyao na uchumi wao. Je sisi tunapeleka nini kutoka huku Afrika?. (Tufumbue macho na akili).

YAFUATAYO NI MBUNIO YA JANGA LA ULIJALI KUPITIA VITA YA KIUCHUMI.
Swali/Tatizo; Je Ongezeko la midoli (via bandia vya uzazi kwa wanaume na wanawake) limetokana uwepo wa tatizo la upungufu wa ulijali au ulikuwa mpango mkakati wa kukuza viwanda kutoka nje ya nchi na uchumi wao kwa kuuza hiyo midoli? (Tunahitaji utafiti wa kina kutoka kwa wataalamu wetu wa ndani).

Kwa kiwango changu cha maarifa niliyobarikiwa na kufundishwa aina mbili za utafiti ambazo ni utafiti wa msingi (mkubwa) na utafiti mdogo ( wa matumizi). Nimetumia sampuli ya watu wawili kuunda bunio la tatizo hili katika kuonyesha uhalisia wa andiko langu juu ya tatizo hili;

1. Aina za vyakula tunavyokula, mabadiliko ya tabia ya nchi na makuzi kama tatizo(kichocheo) Au

2. Matumizi ya sindano za ganzi katika tohara kama tatizo(kichocheo).

Kijana mmoja alikuwa ananisimulia kuwa kabla ya mwaka mmoja wa tohara alikuwa akifanya vizuri kwenye “tendo la kujuana” lakini utofauti ulikuja baada ya miaka miwili ya tohara na anadai alipigwa sindano zaidi ya tatu za ganzi.Bado anawaza kama zilikuwa salama au hapana, sina nia ya kubeza tohara kwani mpaka leo yeye huyo kijana anakiri kuwa limemfanya awe huru na msafi kwani hapo awali alipitia magumu ya kiusafi.(wanasayansi na watafiti wetu waingie mahabara).

Kijana aliyetumia kiwembe yeye anakiri kuwa bado yuko vizuri. (Nilihishia hapa kwani kuingia nyanjani zaidi kunahitaji jopo na uwezo wa kifedha).

Ombi langu kama tatizo linatokana na bunio la kwanza yaani tatizo hili linatokana na mifumo ya ulaji wa vyakula, tabia ya nchi na makuzi basi wataalamu wetu wa kiafya wanahitaji kutafuta suruhu ya mapema ili ku- ova teki manunuzi ya midoli yatakayofisha mahusiano mema ya kihisia kati ya mwanamke na mwanaume kwa kumkufuru mwenyezi mungu, yatupasa kutafuta tiba sahihi kwani Mahusiano mema ya jinsia ya kike kati ya mwanaume na mwanamke ni kichocheo cha maendeleo lakini mwanamke akiona anajitosheleza yeye mwenyewe kwa kutumia vifani vya mwanaume na mwaume akiona anajitosheleza yeye na kifani cha mwanamke tutakuwa tunapeleka dunia yetu kwenye maasi ya uumbaji na kuondoa mahusiano mahususi ya mwanaume na mwanamke tusiige kila kitu hata kama ni biashara ya kukuza uchumi si kwa mlengo huu ambao ni hasi.

Na tiba zikipatikana zirasimishwe ili kupunguza uhorera wa kila mtu kujifanya daktari hatimaye tukaja kukuza tatizo badala ya kulimaliza ninaimani na uwepo wa mimea na matunda yanayoweza kuleta tiba endapo yatafanyiwa utafiti wa kina na kudhibitishwa kiasi (kiwango) cha matumizi yake na kwa usahii. Hili la midoli ni ushenzi uzandiki, hizi bidhaa (samanta na mdoli mwenzake(zikianza kuingizwa nchini ziteketezwe kwa kuchomwa moto bila kujali athari zitakazojitokeza ili kuonyesha uimara wetu na misimamo thabiti kuwa sisi sio “shimo lata”kama wao wanavyo dai.

Tukifikirie kizazi kilichopita, kilichopo na kile kijacho. Afrika ni bora tunanguvu kubwa ndio maana wanatuweka karibu. “Si wazungu wote wanaoiwazia mabaya Afrika lakini wale wenye tamaa na wasiojali utu wa mwanadamu wanasababisha sisi tuwahisi hivyo na hao wanaotuwazia mazuri wawe mstari wa mbele kuyakemea maovu tunayotengenezewa” ili tuchangamane vizuri.
 
Upvote 3
Mwenye uwezo siku zote ataendelea kutawala cha maana msomeshe mtoto wako nje ya nchi na umpe sharti la kuoa mzungu mwenye uwezo na wazae ili uhamie huko ukalee mjukuu uwe mmoja wao
 
Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia.

Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:-

Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi na kulizidi, basi taifa lenye nguvu linaweza kuanzisha vuguvugu la chinichini na taifa hilo ili kulizorotesha huku lenyewe likiendelea kujiendeleza na kujiimarisha zaidi kiuchumi na kulifanya taifa jirani liendelee kuwa tegemezi wa bidhaa kutoka kwake pamoja na misaada itakayolibana.

Uroho wa mali, Madaraka na mipaka ya nchi, nchi nyingi zimekuwa zikiingia kwenye migogoro isiyoisha pale nchi moja inapokuwa na rasilimali nyingi za kuikuza kiuchumi na hizo rasilimali zikiwa kwenye mipaka au hata mbali na mipaka basi misigano uzuka na kusababisha mapigano ua migogoro ya kudumu.

Bara la Afrika mpaka sasa hakuna nchi yenye huwezo wa kuzalisha siraha kubwa za kivita hivyo Mataifa makubwa kiuchumi yanaona hii ni fursa kwao kwani usemi wa “vita ya panzi ni furaha kwa kunguru” ujidhihirisha kupitia haya. Mataifa haya yamekuwa mstari wa mbele kuishinikiza Afrika katika kuchagua pande fungamani ili wapate kichocheo cha mapigano kwa kukuza uhasama miongoni mwa nchi rafiki ili bidhaa yao ya siraha ije kupata soko hapo baadae. (Afrika tufungamane kwenye umoja na upendo tusimegane wala kumegwa na mataifa makubwa kiuchumi). Tuamke katika hili. Kauli yetu hiwe “hatutaki vita”.

Ili tukawaamshe kuwa wabuni vyanzo vingine vya kujiingizia kipato kuliko zana za kivita zisababisha umwagaji wa damu.

Mifano halisi ya vita ya kiuchumi na madhara yake kupitia fikra potofu na kandamizi/fikra dunishi.

Afrika tulidogodishwa kiakili, kimaumbile hususani ngozi na kimaumbo, kupitia ulimbukeni uliowakuta na unaowakuta baadhi ya watu na kuona hatuna ubora wa ngozi ikawa fursa kwao kwa kutengeneza vipodozi vyenye kuibabua ngozi ya asili na huo weupe unaopatikana kwa kubabuka haufikii kiwango cha weupe wao pamoja na vile vidonge vya kuongeza maumbo.

Matumizi ya nywele bandia kutoka ughaibuni yanaendelea kusitawisha viwanda vyao na uchumi wao. Je sisi tunapeleka nini kutoka huku Afrika?. (Tufumbue macho na akili).

YAFUATAYO NI MBUNIO YA JANGA LA ULIJALI KUPITIA VITA YA KIUCHUMI.
Swali/Tatizo; Je Ongezeko la midoli (via bandia vya uzazi kwa wanaume na wanawake) limetokana uwepo wa tatizo la upungufu wa ulijali au ulikuwa mpango mkakati wa kukuza viwanda kutoka nje ya nchi na uchumi wao kwa kuuza hiyo midoli? (Tunahitaji utafiti wa kina kutoka kwa wataalamu wetu wa ndani).

Kwa kiwango changu cha maarifa niliyobarikiwa na kufundishwa aina mbili za utafiti ambazo ni utafiti wa msingi (mkubwa) na utafiti mdogo ( wa matumizi). Nimetumia sampuli ya watu wawili kuunda bunio la tatizo hili katika kuonyesha uhalisia wa andiko langu juu ya tatizo hili;

1. Aina za vyakula tunavyokula, mabadiliko ya tabia ya nchi na makuzi kama tatizo(kichocheo) Au

2. Matumizi ya sindano za ganzi katika tohara kama tatizo(kichocheo).

Kijana mmoja alikuwa ananisimulia kuwa kabla ya mwaka mmoja wa tohara alikuwa akifanya vizuri kwenye “tendo la kujuana” lakini utofauti ulikuja baada ya miaka miwili ya tohara na anadai alipigwa sindano zaidi ya tatu za ganzi.Bado anawaza kama zilikuwa salama au hapana, sina nia ya kubeza tohara kwani mpaka leo yeye huyo kijana anakiri kuwa limemfanya awe huru na msafi kwani hapo awali alipitia magumu ya kiusafi.(wanasayansi na watafiti wetu waingie mahabara).

Kijana aliyetumia kiwembe yeye anakiri kuwa bado yuko vizuri. (Nilihishia hapa kwani kuingia nyanjani zaidi kunahitaji jopo na uwezo wa kifedha).

Ombi langu kama tatizo linatokana na bunio la kwanza yaani tatizo hili linatokana na mifumo ya ulaji wa vyakula, tabia ya nchi na makuzi basi wataalamu wetu wa kiafya wanahitaji kutafuta suruhu ya mapema ili ku- ova teki manunuzi ya midoli yatakayofisha mahusiano mema ya kihisia kati ya mwanamke na mwanaume kwa kumkufuru mwenyezi mungu, yatupasa kutafuta tiba sahihi kwani Mahusiano mema ya jinsia ya kike kati ya mwanaume na mwanamke ni kichocheo cha maendeleo lakini mwanamke akiona anajitosheleza yeye mwenyewe kwa kutumia vifani vya mwanaume na mwaume akiona anajitosheleza yeye na kifani cha mwanamke tutakuwa tunapeleka dunia yetu kwenye maasi ya uumbaji na kuondoa mahusiano mahususi ya mwanaume na mwanamke tusiige kila kitu hata kama ni biashara ya kukuza uchumi si kwa mlengo huu ambao ni hasi.

Na tiba zikipatikana zirasimishwe ili kupunguza uhorera wa kila mtu kujifanya daktari hatimaye tukaja kukuza tatizo badala ya kulimaliza ninaimani na uwepo wa mimea na matunda yanayoweza kuleta tiba endapo yatafanyiwa utafiti wa kina na kudhibitishwa kiasi (kiwango) cha matumizi yake na kwa usahii. Hili la midoli ni ushenzi uzandiki, hizi bidhaa (samanta na mdoli mwenzake(zikianza kuingizwa nchini ziteketezwe kwa kuchomwa moto bila kujali athari zitakazojitokeza ili kuonyesha uimara wetu na misimamo thabiti kuwa sisi sio “shimo lata”kama wao wanavyo dai.

Tukifikirie kizazi kilichopita, kilichopo na kile kijacho. Afrika ni bora tunanguvu kubwa ndio maana wanatuweka karibu. “Si wazungu wote wanaoiwazia mabaya Afrika lakini wale wenye tamaa na wasiojali utu wa mwanadamu wanasababisha sisi tuwahisi hivyo na hao wanaotuwazia mazuri wawe mstari wa mbele kuyakemea maovu tunayotengenezewa” ili tuchangamane vizuri.
Je, Kuna huusiano kati ya kizazi cha kale (mabibi) na kuyamezea kimya mapungufu yaliyojitokeza ndani ya nyumba?
 
"Uwezekano upo"
Kutokana na limbuko la utandawazi kila kitu kinaweka wazi na kuwafikia wengi.
Suruhisho ni
Kuongelea mapungufu ndani ya familia katika ngazi ya familia kwanza na kutafuta suruhisho sahihi kuliko kukuza jambo pasipo kutafuta njia mbadala na
 
Back
Top Bottom