Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu


Kwani na mimi nikitunga changu na niandike ni kitabu kisicho na shaka ndani yake ndio itakua kweli?
 
Mkuu kwa mujibu wa Bibilia “maneno matakatifu ya Mungu” Bibilia ni kwaajili ya watu wote duniani

Sasa unaposema Bibilia ni kwaajili ya walengwa fulani unamaanisha nini?

Kumbe kuna wengine Bibilia haiwahusu na wanaketa kiherehere kuhoji?
Biblia siyo kwa ajili ya watu wote. Ni kwa ajili ya "wale wanaoamini". Kama huamini unajisumbua bure kuisoma maana hutaamini inachokisema. Kama ingeandikwa kwa ajili ya wote, basi wote wangeamini. Hata Qur'an imeandikwa kwa wale wanaoiamini. Mfano, mimi ni Mkatoliki na Qur'an haikuandikwa kwa ajili yangu. Upo hapo? Isipokuwa Biblia imeandikwa kwa ajili yangu kwa sababu naamini inachokisema. Kama huamini achana nayo maana hutaelewa, unapoteza muda bure. Hata lugha mbalimbali duniani zipo kwa ajili ya wale wanaozitumia au wanataka kuzitumia. Lakini kama huhitaji kujua au kutumia lugha fulani unapoteza muda kujifunza hiyo lugha maana huna mpango na utaratibu wa kuitumia. Elewa hivyo. So, if you don't need something you are wasting time to have it because it won't benefit you. Only those things which you need or intend to use will benefit you. Kama huhitaji mke na huna mpango wa kuwa naye, hata kama utamuoa unapoteza muda wako maana hatakufaa na hata yeye hutamfaa kwa chochote na kwa lolote. Upo hapo?
 

Twende taratibu mkuu

Unaamini Mungu yupo? Na Bibilia ni maandiko yake matakatifu?

Halafu sasa tutarudi kwenye hoja yetu
 
 
Hilo ndo jibu.au unataka mpaka aeleze alivyoijenga jenga dunia?hyo ni siri yake.kikubwa ni kujua mwenye dunia yupo nae ndiye mungu muumba watu na vitu vingine.
inawezekana vipi mtu aliyeunda kitu akashindwa kujua knafanya vipi kazi?

mungu huyo kwenye vitabu vyake vimeandikwa jua likasimama!
Kwa mantiki hiyo hiyo kwanini bing bang isiswe ni chanzo lakini unakubaliana kwamba mungu kaumba na ni siri yake?

Kuna utofauti gani na zile serer mythology kutokea senegal na 🇬🇲 gambia?
 
Hyo big bang haijatokea tu kwa bahati mbaya.jua yupo aliyeifanya itokee.
 
Which one?..... man created so many of them
Ili tumdadafue
Mungu si Binadamu.wala hafanani na binadamu,wala malaika.yupoje anajua yeye.uwezo wetu wa kujua umeishia hapa
 
Mungu si Binadamu.wala hafanani na binadamu,wala malaika.yupoje anajua yeye.uwezo wetu wa kujua umeishia hapa
Mungu Ana sifa zote za binadamu unabisha kuhusu hilo? Anakosea, anaua wasio na hatia, ana wivu, ana hasira, ana upendeleo, Hana tofauti kabisa na binadamu.
 
Sasa naingia kwenye AYA ZA QURAN.
 

Attachments

  • Screenshot_20231207_095326_Samsung Internet.jpg
    52.1 KB · Views: 3
Hyo big bang haijatokea tu kwa bahati mbaya.jua yupo aliyeifanya itokee.
Achana na mambo jua.
Bing bang haijawahi kusema jua yupo aliyefanya itokee.

Hapo itakua ni kulazimisha mambo tu
Na bado hakuna ulichokijibu.
 
Mungu Ana sifa zote za binadamu unabisha kuhusu hilo? Anakosea, anaua wasio na hatia, ana wivu, ana hasira, ana upendeleo, Hana tofauti kabisa na binadamu.
Binadamu anaishi duniani,mungu hashi duniani,binadamu anaonekana mungu haonekani.utasemaje wako sawa?
 
Sasa naingia kwenye AYA ZA QURAN.
Hii ni nje ya mada,
Lakini bado unaleta maneno matupu bila uthibitisho.

Sababu tu ulikaririshwa hivyo
Kwanini unakubali kitabu cha stori za waarabu tena jamii ambayo sio yako ndiye upachike kwamba huyo mungu aliumba mbingu?

Yaani ni hivi,
Bing bang inaelezea dunia ilivyouwa formed na mungu huyu tuliyemtunga anaelezea aliumba mbingu akisema palikiwa na neno.
Kuna utofauti gani na hizo stori ulizozileta hapo
 
Achana na mambo jua.
Bing bang haijawahi kusema jua yupo aliyefanya itokee.

Hapo itakua ni kulazimisha mambo tu
Na bado hakuna ulichokijibu.
Soma hizo aya.
Mimi ni muislam.tuingie kwenye quran.
 

Attachments

  • Screenshot_20231207_100057_Samsung Internet.jpg
    118.8 KB · Views: 3
Sasa lete na wewe maandiko KUWA MUNGU HAJAUMBA DUNIA
 
Binadamu anaishi duniani,mungu hashi duniani,binadamu anaonekana mungu haonekani.utasemaje wako sawa?
Mungu haonekani sababu yupo kwenye imagination yako tu huwezi kumthibitisha kwa namna yoyote ile mbali na vitabu ulivyovisoma vya hadithi.

In the first place man created god.
Ndio maana nikasema mungu ana sifa zote za binadamu.

Kama mungu haonekani wewe unayesema yupo umemuona vipi?

Mungu alishaonekana unabisha nikuletee vifungu vya biblia?
 
Una amini UPEPO UPO?
 
Soma hizo aya.

Mimi ni muislam.tuingie kwenye quran.
Out of topic,
Soma kichwa cha uzi anzisha uzi wako kuhusu Quran nitakuja Kuchangia mkuu.

Halafu utuonyeshe mungu huyo asiyekuwa na mikanganyiko.
 
Una amini UPEPO UPO?
Mkuu mjinga,
Ni hivi nikiwasha feni nikaweka karatasi mbele yake itapepea Nina feel upepo, upepo unaweza kupimwa.
Upepo ukiwa mkali utaona outcome majani yana ruka light object vina move.

Thibitisha mungu kwa namna yoyote ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…